Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Nilitegemea wawe wamesha fungua kesi mahakamani ya kuzuia utoaji fomu kwenye hilo jimbo, pamoja na kuzuia mchakato mzima wa uchaguzi kwa ngazi ya ubunge jimbo la Kibamba. Kwenda polisi ni kupoteza muda.Chadema wana tabia ya kulala na kupuuzia mambo. Kibamba itaondoka hivihivi kwa uhuni wa ccm
Ndio maana tunasema chadema taifa waende hukohuko tume ya taifa ya uchaguzi. CCM wana mbinu za kishamba sanaIla mi bado sielewi,majina ya wanaogombea si huwa yanaenda Tume? Sasa mkurugenzi hakupewa nakala toka Tume?
Tena wachangamke haraka sana.ccm inasubiri tarehe 25 saa 10 jioni kama hakuna pingamizi wanampitisha huyo mamluki wao.Wafanye mawili:
1. Kwenda mahakamani kuweka zuio la kufanyika uchaguzi jimbo la Kibamba mpaka ufumbuzi upatikane
2. Kufatilia NEC.....
Bado wakiwahiMoja bila tayari
Na pia waanze kumkataa huyu msimamizi mapema. Huyu ni hatari kuliko Covid 19Mnaenda kubishana na mkurugenzi ofisini badala ya kuanza kupambana na huyo muhuni. Hapo Mkurugenzi keshabugi step either kwa kukusudia au kateleza.muhimu anzeni kufuatilia tume ya taifa ya uchaguzi litolewe ufafanuzi hili Mkurugenzi hataliweza huyo mama.
KabisaNa pia waanze kumkataa huyu msimamizi mapema. Huyu ni hatari kuliko Covid 19
Mbona NEC imenyamaza, au haijasikia kuwa kuna tatizo? Ifahamike kwamba huyu Mkurugenzi ni Wakala wa NEC kwa hiyo ni wajibu wa NEC kutoa tamko.Na pia waanze kumkataa huyu msimamizi mapema. Huyu ni hatari kuliko Covid 19
Dah! Sekunde ya kumi tu ya mchezo🤣🤣🤣Moja bila tayari
True. Kiburi na ujuaji hapa viwekwe kando.Chadema wana tabia ya kulala na kupuuzia mambo. Kibamba itaondoka hivihivi kwa uhuni wa ccm
NEC inatakiwa kutatua mgogoro huu haraka iwezekanavyoMbona NEC imenyamaza, au haijasikia kuwa kuna tatizo? Ifahamike kwamba huyu Mkurugenzi ni Wakala wa NEC kwa hiyo ni wajibu wa NEC kutoa tamko.