Uchaguzi 2020 CHADEMA Taifa fuatilieni haraka tatizo la mgombea Ubunge Kibamba

Nilitegemea wawe wamesha fungua kesi mahakamani ya kuzuia utoaji fomu kwenye hilo jimbo, pamoja na kuzuia mchakato mzima wa uchaguzi kwa ngazi ya ubunge jimbo la Kibamba. Kwenda polisi ni kupoteza muda..
Acha wazubae.Mkurugenzi na ccm wanawavutia kasi
 
Hii hata wangefanya waandamane kila siku ofisini kwa mkurugenzi!
Upuuzi huo wa mkurugenzi haukubaliki!

Nao wasituangushe bwanaa, au wanasubiri Tundu Lissu aliongelee?! Ataongea mangapi?
Ni jukumu la chadema taifa kusaidia hili haraka.muda si rafiki
 
Ule uchokozi wa ccm, uko wazi mwenyeketi wa NEC taifa atoe maelekezo aliyechukua form ajitokeze adharani afahamike na Chadema wamtambue, wakimkana anyang'anywe form apeww muhusika.

Yeye polisi waendelee naye kwa jaribio la kuleta fuja na kuharibu amani.

Hakuna mgombea wa Chadema ambaye hajulikani,yule mama ni muhuni.
 
1. Waandike barua NEC wakiambatisha na jina anayestahili kupewa fomu hiyo na ikiwezekana km wanafahamu jina la aliyechukua fomu hiyo , wampatie nakala Mkurugenzi aliyetoa hiyo fomu kwa makosa.

2. Wajiandae zuio la Uchaguzi wa Jimbo hilo kisheria km NEC haitatoa ufumbuzi wa suala hilo kwa wakati.

Lakini bado najiuliza jambo hili limetokeaje. Ina maana Mkurugenzi aliyetoa hiyo fomu :

1. Hana orodha ya majina ya wateule wa vyama vilivyothibitisha wagombea wao katika jimbo lake.

2. Amewezaje kujiridhisha km mchukua fomu ni mtu sahihi au la hata kwa kuomba utambulisho wake binafsi kwake km kweli ni yeye mteule wa chama anachochukua fomu.

3. Je aliweza kuhojiana/ kuwa na mazungumzo mafupi na mchukua fomu na ujumbe wake kabla ya kutoa hiyo fomu au fomu ilikuwa masijala aama kwa PS. Maana katika mahojiano mafupi unaweza kupata clues za huyo mtu / watu waliomsindikiza km utakuwa mwerevu kidogo.

Sijajua katika suala sensitive km hilo Mkurugenzi anaweza kuteleza kizembe hivyo au kuna maana nyingine hapo.

Rai yangu ili kuepusha mambo haya kujitokeza:-

Vyama vya siasa mtoe barua za utambulisho kwa wagombea wenu wanapoenda kuchukua fomu na wagombea kuwa na vitambulisho vyao pia.

Wakurugenzi wawe na nakala ya wagombea katika jimbo au majimbo wanayoyasimamia na wadai barua rasmi za utambulisho kutoka chama husika na kitambulisho binafsi cha mgombea.

Ni hayo tu.
 
Nasikia Mkurugenzi ameshatoa fomu ngoja nifanye ufuatiliaji kuthibitisha hili.
 
Ule uchokozi wa ccm, uko wazi mwenyeketi wa NEC taifa atoe maelekezo aliyechukua form ajitokeze adharani afahamike na Chadema wamtambue, wakimkana anyang'anywe form apeww muhusika.

Yeye polisi waendelee naye kwa jaribio la kuleta fuja na kuharibu amani.

Hakuna mgombea wa Chadema ambaye hajulikani,yule mama ni muhuni.
Nasikia fomu imetolewa ngoja nifuatilie.
 
Back
Top Bottom