CHADEMA tambueni kuwa nchi hii haihitaji wana harakati, nchi hii inahitaji viongozi na nyinyi viongozi wa kuongoza taifa hili hamna

THE BIG SHOW

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
18,873
Reaction score
15,267
Friends and Our Enemies,

Wengi wao wanachadema hawapendi kuliskia hili,lakini NDIYO ukweli wenyewe.

Siasa za HARAKATI ndani ya nchi hii na bara hili kwa ujumla zilishafanyika na zikakamilika.

Kilichobakia kwa Sasa ni kuongoza Dola kutokana na ridhaa ya wananchi.

Ukiwatazama CHADEMA huwezi kuona dhamira ya kweli KATIKA kuliongoza TAIFA hili zaidi ya kukaa KWAO na kufanya HARAKATI dhidi ya chama cha mapinduzi

Hata kama tukisema wananchi wameichoka CCM unadhani mbadala sahihi wa KUONGOZA TAIFA HILI ni CHADEMA?

Wao wenyewe wanajua kuwa hawako tayari kuongoza nchi hii.

Kila awamu ya uchaguzi inapofika wanageuka na Kuja na episodes mbali mbali za kuwaaminisha wa anchi kuwa wanataka Dola lakini uhalisia na ukweli uko wazi kuwa hawajawa madhubuti kiasi cha wananchi kuwaamini na kuwapa nafasi hiyo.

Anguko la CCM litatoka kwa wananchi wenyewe,na wala halitatoka kwenye shinikizo kutoka kwa CHADEMA.

Chama Chao kimegawanyika hata kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi wenyewe,hata hizo reforms zikifanyika wakashika Dola mikakati na sera zao KATIKA kuliongoza TAIFA hili HAIPO na haileweki, hatuwezi jaribu kuonja sumu kwa kuilamba.
 
Tumekubali. Sasa mbona kelele zimekuwa nyingi? Naona mapovu tu ya wezi wa kura wanahangaika na CHADEMA....

Ukiwatazama chadema huwezi kuona dhamira ya kweli KATIKA kuliongoza TAIFA hili zaidi ya kukaa KWAO na kufanya HARAKATI dhidi ya chama cha mapinduzi

Hata kama tukisema wananchi wameichoka CCM unadhani mbadala sahihi wa KUONGOZA TAIFA HILI ni CHADEMA?

Wao wenyewe wanajua kuwa hawako tayari kuongoza nchi hii.

Kila awamu ya uchaguzi inapofika wanageuka na Kuja na episodes mbali mbali za kuwaaminisha wa anchi kuwa wanataka Dola lakini uhalisia na ukweli uko wazi kuwa hawajawa madhubuti kiasi cha wananchi kuwaamini na kuwapa nafasi hiyo.

Anguko la CCM litatoka kwa wananchi wenyewe,na wala halitatoka kwenye shinikizo kutoka kwa chadema.

Chama Chao kimegawanyika hata kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi wenyewe,hata hizo reforms zikifanyika wakashika Dola mikakati na sera zao KATIKA kuliongoza TAIFA hili HAIPO na haileweki, hatuwezi jaribu kuonja sumu kwa kuilamba.

.
 
Friends and Our Enemies,

Wengi wao wanachadema hawapendi kuliskia hili,lakini NDIYO ukweli wenyewe.

Siasa za HARAKATI ndani ya nchi hii na bara hili kwa ujumla zilishafanyika na zikakamilika.

Kilichobakia kwa Sasa ni kuongoza Dola kutokana na ridhaa ya wananchi.

Ukiwatazama CHADEMA huwezi kuona dhamira ya kweli KATIKA kuliongoza TAIFA hili zaidi ya kukaa KWAO na kufanya HARAKATI dhidi ya chama cha mapinduzi

Hata kama tukisema wananchi wameichoka CCM unadhani mbadala sahihi wa KUONGOZA TAIFA HILI ni CHADEMA?

Wao wenyewe wanajua kuwa hawako tayari kuongoza nchi hii.

Kila awamu ya uchaguzi inapofika wanageuka na Kuja na episodes mbali mbali za kuwaaminisha wa anchi kuwa wanataka Dola lakini uhalisia na ukweli uko wazi kuwa hawajawa madhubuti kiasi cha wananchi kuwaamini na kuwapa nafasi hiyo.

Anguko la CCM litatoka kwa wananchi wenyewe,na wala halitatoka kwenye shinikizo kutoka kwa CHADEMA.

Chama Chao kimegawanyika hata kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi wenyewe,hata hizo reforms zikifanyika wakashika Dola mikakati na sera zao KATIKA kuliongoza TAIFA hili HAIPO na haileweki, hatuwezi jaribu kuonja sumu kwa kuilamba.
Sawa ni CCM tu yenye viongozi. sawa eehh
 
“Anguko la CCM litatoka kwa wananchi wenyewe,na wala halitatoka kwenye shinikizo kutoka kwa CHADEMA”

I agree
 
Friends and Our Enemies,

Wengi wao wanachadema hawapendi kuliskia hili,lakini NDIYO ukweli wenyewe.

Siasa za HARAKATI ndani ya nchi hii na bara hili kwa ujumla zilishafanyika na zikakamilika.

Kilichobakia kwa Sasa ni kuongoza Dola kutokana na ridhaa ya wananchi.

Ukiwatazama CHADEMA huwezi kuona dhamira ya kweli KATIKA kuliongoza TAIFA hili zaidi ya kukaa KWAO na kufanya HARAKATI dhidi ya chama cha mapinduzi

Hata kama tukisema wananchi wameichoka CCM unadhani mbadala sahihi wa KUONGOZA TAIFA HILI ni CHADEMA?

Wao wenyewe wanajua kuwa hawako tayari kuongoza nchi hii.

Kila awamu ya uchaguzi inapofika wanageuka na Kuja na episodes mbali mbali za kuwaaminisha wa anchi kuwa wanataka Dola lakini uhalisia na ukweli uko wazi kuwa hawajawa madhubuti kiasi cha wananchi kuwaamini na kuwapa nafasi hiyo.

Anguko la CCM litatoka kwa wananchi wenyewe,na wala halitatoka kwenye shinikizo kutoka kwa CHADEMA.

Chama Chao kimegawanyika hata kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi wenyewe,hata hizo reforms zikifanyika wakashika Dola mikakati na sera zao KATIKA kuliongoza TAIFA hili HAIPO na haileweki, hatuwezi jaribu kuonja sumu kwa kuilamba.
Ninachowakubali wavaa Makobazi Rais akiwa akiwa wenu mtamtetea kwa Kila namna. Bila kujalisha nini.nyie cha msingi awe wenu. Ndiyo maana CUF na Zambarau huwasikii kabisa.
Shida ya Wagalatia hata kama Rais ni mwenzao watamzingua hawajali.
 
Kwahiyo wakristo wanaomsema VIZURI Samia unawazungumziaje?

Wamesilimishwa au??

Kafiri wewe kafiri Gani?

Kila kitu KUANGALIA kwa jicho la udini?
 
Friends and Our Enemies,

Wengi wao wanachadema hawapendi kuliskia hili,lakini NDIYO ukweli wenyewe.

Siasa za HARAKATI ndani ya nchi hii na bara hili kwa ujumla zilishafanyika na zikakamilika.

Kilichobakia kwa Sasa ni kuongoza Dola kutokana na ridhaa ya wananchi.

Ukiwatazama CHADEMA huwezi kuona dhamira ya kweli KATIKA kuliongoza TAIFA hili zaidi ya kukaa KWAO na kufanya HARAKATI dhidi ya chama cha mapinduzi

Hata kama tukisema wananchi wameichoka CCM unadhani mbadala sahihi wa KUONGOZA TAIFA HILI ni CHADEMA?

Wao wenyewe wanajua kuwa hawako tayari kuongoza nchi hii.

Kila awamu ya uchaguzi inapofika wanageuka na Kuja na episodes mbali mbali za kuwaaminisha wa anchi kuwa wanataka Dola lakini uhalisia na ukweli uko wazi kuwa hawajawa madhubuti kiasi cha wananchi kuwaamini na kuwapa nafasi hiyo.

Anguko la CCM litatoka kwa wananchi wenyewe,na wala halitatoka kwenye shinikizo kutoka kwa CHADEMA.

Chama Chao kimegawanyika hata kabla ya kuelekea kwenye uchaguzi wenyewe,hata hizo reforms zikifanyika wakashika Dola mikakati na sera zao KATIKA kuliongoza TAIFA hili HAIPO na haileweki, hatuwezi jaribu kuonja sumu kwa kuilamba.
Nishiriki uchaguzi nikijua fika nitafanyiwa dhuluma na kuuwawa,ata kama ni wewe huwezi kubali,nyie endeleeni kubaki madarakani ili mwendelee kuiba makaa ya mawe na rasilimali nyingine hakuna tatizo.
 
Tumekubali. Sasa mbona kelele zimekuwa nyingi? Naona mapovu tu ya wezi wa kura wanahangaika na CHADEMA....

.
Kelele nyingi ziko wapi?

TATIZO mmekuwa vipofu na viziwi hamuwezi kuubaini ukweli.
 
Nishiriki uchaguzi nikijua fika nitafanyiwa dhuluma na kuuwawa,ata kama ni wewe huwezi kubali,nyie endeleeni kubaki madarakani ili mwendelee kuiba makaa ya mawe na rasilimali nyingine hakuna tatizo.
Unachojua wewe ni hiko tuh,mazuri yanayofanyika na wewe ukiwa mnufaika mbona husemi?
 
Back
Top Bottom