Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Yani shida sio mitazamo ya makondo shida ni kwamba hana mamlaka ya kutekeleza anayoyasema hivyo unakua ni ulaghai mtupu.Watanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi.
Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa.
Raia wanyonge wasidhulumiwe mali zao. Hili lipo wazi.
Rushwa na ufisadi udhibitiwe ili mali ya umma ilete maendeleo kwa kila mtanzania. Ndio maana leo hii mnaenda kwenu Moshi huku mkipita juu ya daraja la Wami la kisasa.
Nyankurungu 2020.
0742 425245. Kintiku Manyoni
Mwizi ni mwizi tuWatanzania wanahitaji kuona reli ya Sgr kutoka Dar mpaka Mwanza inafanya kazi hii ni kwa sababu ughali wa maisha utapungua sababu mizigo na abiria watasafiri kwa bei rahisi.
Bwawa la JHNP linazalisha umeme na umeme haukatiki hovyo. Bei ya umme ishuke na umeme usiwe anasa.
Raia wanyonge wasidhulumiwe mali zao. Hili lipo wazi.
Rushwa na ufisadi udhibitiwe ili mali ya umma ilete maendeleo kwa kila mtanzania. Ndio maana leo hii mnaenda kwenu Moshi huku mkipita juu ya daraja la Wami la kisasa.
Nyankurungu 2020.
0742 425245. Kintiku Manyoni
Sukuma gang anajitahidi kulazimisha utawala kwa BashiteYani shida sio mitazamo ya makondo shida ni kwamba hana mamlaka ya kutekeleza anayoyasema hivyo unakua ni ulaghai mtupu.
Hongera sana kwa kumpa makavu hiyo MhutuTanzania haijawahi kutawaliwa/kuongozwa na CHADEMA
Matatizo ya Tanzania hayatokani na chadema, yanatokana na ccm yenyewe. ujinga wako ni pale unapoamini kwamba ukiitaja chadema tu unasolve matatizo ya watanzania.
huyo makonda anatokea chama kilekile kilichosababisha matatizo huyo ni mwana ccm
PUNGUZENI UJINGA NA USHAMBA WA KISUKUMA
PUMBAVU
Inabid akubali tu kwa sasa anatumika tu kisiasa hivyo hata walio mtuma hawana nia ya kutekeleza porojo zake.Sukuma gang anajitahidi kulazimisha utawala kwa Bashite