CHADEMA Tanga walalamika Viongozi wao kushikiliwa na Polisi

CHADEMA Tanga walalamika Viongozi wao kushikiliwa na Polisi

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Kanda ya Kaskazini kimedai kuwa viongozi wake wanne kutoka mikoa ya Tanga na Manyara wanashikiliwa na Jeshi la Polisi, kikieleza kuwa walikamatwa kwa tuhuma za kuratibu maandamano yaliyokuwa yamepangwa kufanyika Julai 7, 2026.

Akizungumzia madai hayo, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi, amesema kuna watu wanaoshikiliwa kwa tuhuma za makosa ya mtandao na uchochezi, lakini hakuthibitisha kama ni viongozi wa Chadema. "Sijui kama ni viongozi wa Chadema au laa. Ninachojua ni kwamba kuna watu kadhaa tuliowakamata kwa tuhuma za makosa ya mtandao na uchochezi," amesema.

Kwa mujibu wa Chadema, wanaoshikiliwa ni Katibu wa Chadema Handeni Vijijini, Ramia Kisalazo; Katibu wa Bawacha Mkoa wa Tanga, Nusura Kihiyo; Mwenyekiti wa Chadema Jimbo la Korogwe, Ezekiel Mbwilo; pamoja na Katibu wa Bavicha Wilaya ya Mbulu, Emanuel Hari, wanaodaiwa kushikiliwa katika vituo mbalimbali vya polisi mikoa ya Tanga na Manyara.

Kamanda Mchunguzi amesema upelelezi wa tuhuma hizo unaendelea na kwamba hatua za kisheria zitachukuliwa baada ya uchunguzi kukamilika na kubaini iwapo watuhumiwa watafikishwa mahakamani.

Chanzo: EATV
 
Polisi ni ******* na hawa ndio wakuanza nao... Tudili na familia zao kata panga,choma visu, chima nyumba zao ila heshima ije, haiwezekani umkamate mtu ambaye hata hatia wakati kuna huyo mwaipopo anatoka hadharani na watu wake wanatishia kuua nakukata mapanga watu.
Watanzania tumekuwa wajinga kupitiliza hawa polisi ilikuwa nikuwaua mmoja mmoja... Ua familia zao, ua wazazi wao ndipo wataacha huu upuuzi.... Uoga wa mpumbavu ni pale ataona ndgu zake wameuawa kikatili ....
 
Back
Top Bottom