Huu ni wakati sahihi wa CHADEMA kuhitisha maandamano nchi nzima msisubiri wala msiogope. Tuko tayari kuipigania nchi yetu hadi tone la mwisho la damu. Tundu Lissu kashatupa njia. Na haya maandamano yasiwe ya CHADEMA tu. Tupige kelele mahakama zetu pia haziko huru na hii ni ishara tosha kuwa Lissu wanakwenda kumuhukumu isivyo haki