pure nonsense 🐒Huu ni wakati sahihi wa CHADEMA kuhitisha maandamano nchi nzima msisubiri wala msiogope. Tuko tayari kuipigania nchi yetu hadi tone la mwisho la damu. Tundu Lissu kashatupa njia. Na haya maandamano yasiwe ya CHADEMA tu. Tupige kelele mahakama zetu pia haziko huru na hii ni ishara tosha kuwa Lissu wanakwenda kumuhukumu isivyo haki
Tutaandamana tu ni swala la muda. Na nikwambie maandamano yatakayokuja lazima yaende na mtu. Believe meSafi sana, Heche, Lema, Sugu, Mnyika waongoze hayo maandamano wakiambatana na familia zao, wasiwatangulize manyumbu wao, huku wao wamejifungia ndani
Kesho ndio jumatatu, anza kujiandaaTutaandamana tu ni swala la muda. Na nikwambie maandamano yatakayokuja lazima yaende na mtu. Believe me
Mkuu pole umesha pona? , na vipi ulilipoti police au umeamua kupotezeaSafi sana, Heche, Lema, Sugu, Mnyika waongoze hayo maandamano wakiambatana na familia zao, wasiwatangulize manyumbu wao, huku wao wamejifungia ndani
UMEMALIZA?Huu ni wakati sahihi wa CHADEMA kuhitisha maandamano nchi nzima msisubiri wala msiogope. Tuko tayari kuipigania nchi yetu hadi tone la mwisho la damu. Tundu Lissu kashatupa njia. Na haya maandamano yasiwe ya CHADEMA tu. Tupige kelele mahakama zetu pia haziko huru na hii ni ishara tosha kuwa Lissu wanakwenda kumuhukumu isivyo haki
We kiichaa Maandamano ni haki ya Kikatiba Sio Dhambi.Safi sana, Heche, Lema, Sugu, Mnyika waongoze hayo maandamano wakiambatana na familia zao, wasiwatangulize manyumbu wao, huku wao wamejifungia ndani
Imekuwa dhambi viongozi wa chama kukaa mbele ya maandamano na familia zao?We kiichaa Maandamano ni haki ya Kikatiba Sio Dhambi.
Wala sio haramu.
Ficha Upumbavu wako.
Ubwa we!!!
Sawa lakini,viongozi wa chadema waongoze maandamano wakiwa na familia zao,tunakubaliana nawe.Ibara ya 20(1) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977. Ibara hiyo inasema:
"Kila mtu anastahili kuwa huru, bila ya kuathiri sheria za nchi, kukutana na watu wengine kwa hiari yake na kwa amani, kuchanganyika na kushirikiana na watu wengine, kutoa mawazo hadharani..."
Hii ndiyo ibara inayotambuliwa kama msingi wa kikatiba wa uhuru wa kukusanyika na kuandamana kwa amani nchini Tanzania