Whitesmith
JF-Expert Member
- Aug 12, 2017
- 454
- 635
Habari ya leo wanajamvi.
Ndugu Heche sasa TAWANYIKENI, baada ya concentration of power kuwa Kanda moja yaani Kanda after Kanda, sasa hivi ni vyema mkatawanyika. Mpige Kanda zote at ounce, hii itasaidia Nchi yote kuamka. Gawa makamanda wako vyema kwenye Kanda zote, habari ya mahakamani waachieni mawakili na Tundu Lissu, kama vuguvugu itaendelea Tundu Lissu atakuwa na amani na pressure itakuwa kubwa kwa watawala, Kosa mtakalofanya ni kama mkijikusanya DSM kwa kisingizio cha M/k kuwa ndani. TAWANYIKENI TAWANYIKENI TAWANYIKENI, operation No Reform no election isipoe huku Tone Tone kuimarisha Chama.
Nasepa zangu, muwe na usiku mwema, Kumbukeni Wamasai Ngorongoro walikuwa wanajipanga kimya kimya serikali ikakutana na 40elfu Wamasai na majani mikononi kama ishara ya mkutano wa amani ila sime kiunoni, fimbo mkononi