CHADEMA tayari kuuwasha moto. Arusha mpo?

Mama waamshe wanaoo.
 
Ni wabunge wa huko?

Wanataka kuanza tena fujo zao
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
CHAMA CHA SIASA NI MABARABARANI NA MAJUKWAANI - JK NYERERE
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Wewee hembu acha ukabila na ukaburu. Sawa???
Mwendazake amejenga uwanja wa ndege Chato sababu Ni sehemu ya Tanzania pia. Acha ubaguzi. Umeelewa???
 
mikutano ya nn sasa na kuna corona
 

wamesema kuna corona
 
kamfukue mwendazake ili muwapatie hekaheka hawa watu, wapotee kwanza kwa wiki tatu nne hivi, wakirudi watie adabu huku wakiwa na viongo nusu.
Mama na timu yake mpya anawatosha.
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
Punguani katika ubora wako
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.

Sasa kama hawana wafuasi wa kutosha kwenye hayo maeneo ulitaka wafanye nini?

Mbona CCM hawaonekanwi Pemba?
 
Kwa nini kaskazini? kwa nini sio mtwara au kigoma?

Chama hiki lazima kijiondoe kwenye mizizi ya ukaskazini na uchaga ndio kitaeleweka. Hakuna yoyote mwenye akili atakubali kukipa dola chama kilichojaa wachaga tupu.
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Chama kimejaa wazee wa fursa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…