Chadema toeni Mapema Fomu za Wagombea Urais kama walivyofanya wenzenu wa CCM!

Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Watoe muda muafaka, kutokana na katiba na taratibu za CHADEMA, katiba ya nchi, na ratiba ya tume ya uchaguzi....wakitoa mapema sana wanaweza fanyiwa mizengwe na mamlaka zikishirikiana na chama cha kijani
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
System ya CDM ni tofauti kabisa na ile ya ccm. Hayo tutayafanya kwa kupitia democratic process na sio mtu kujichagua mwenyewe kama ilivyotokea cccm.
 
Hatuwazi Chaguzi Kuna Ya Msingi Mnoo Na Ya Maana Ya Kufanya Kwa Nchi Pamoja Na Wananchi Wetu Wapendwa Ngoja Kwanza Tuzitengeneze Na Kuzinoa Fikra Za Baadhi Ya Wananchi Wenzetu Wenye Upeo Wa Kutazama Mambo Tofauti Ili Wawe Chachu Ya Mabidiliko Haswa Ya Kifikra Kwa Wengine Namna Bora Zaidi Ya Kujali Nchi Na Wananchi.
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Kwani kuna Kigogo yeyote katika CCM?
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Hizi pombe za mchana unazokunywa bila kula matokeo yake ndiyo haya unaropoka tu.
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
CCM hawajatoa form, kuna watu wamejipitisha majina yao kienyeji bila kufuata kariba yao - kunafukuta moshi huko, Samia ana hali ngumu
 
Chadema hela tu za kuchapa fomu tu hawana

Achilia mbali za kuitisha vikao na kulipa posho wajumbe wa vikao
Mariah sarungi anatembeza bakuli kwa wahisani...Trump kapiga stop michongo ya upinde pagumu sana kwa mwenyekiti mpya!
 
CCM hawajatoa form, kuna watu wamejipitisha majina yao kienyeji bila kufuata kariba yao - kunafukuta moshi huko, Samia ana hali ngumu
Kunafukuta Moshi wapi wewe?

Mkutano mkuu una nguvu ya kufanya maamuzi yeyote mazito na yakawa halali mradi yapitishwe kwa wingi wa kura za wajumbe

Kinachofuata wakiamua ni utekelezaji tu
 
Mariah sarungi anatembeza bakuli kwa wahisani...Trump kapiga stop michongo ya upinde pagumu sana kwa mwenyekiti mpya!
Sahihi Chadema na Ngo zao za akina Anael nkya,za akina Ole ngurumo ,nk zilikuwa zikipokea pesa kibao kisha kurusha lipa namba Chadema wanunue magari,kulipa wajumbe wa mikutano,kununua vitu mbalimbali nk tiketi za kwenda huko na huko,warsha na semina sijui za kuhamasisha uchaguzi nk

Michongo ya upinde ndio kwa heri tena

Maria Sarungi ajiandae kuishi kwa kula Githeri ambayo ni makande ya kipare yanayoliwa Kenya kila siku
 
UWT mtasubiri sn
 
Back
Top Bottom