Chadema toeni Mapema Fomu za Wagombea Urais kama walivyofanya wenzenu wa CCM!

Uliona kuna kura zozote zilizopigwa kumteua mgombea?
Ni kuuliza wanaisema ndio wasimame au waseme sivyo

Hata Chadema wajumbe wa kamati kuu Lisu alikuwa akiuliza tu wanaoafiki wanyooshe mikono juu na wasiofiki wanyooshe mikono

Hsikuhesabiwa akasema tu wengi wamekubali
 
Uchaguzi kwa tume hiyo ya maafisa vipenyo watiifu kwa mwenyekiti wa CCM?
 
Mgombea wa ccm ni mwepesi kama .... hadi wana ccm wenyewe hawamtaki (nayeye analijua hilo ndo maana amejichagua). Wanasema ni raia wa nchi jirani. Wanasema mwaka huu wapo na Tundu Lissu tu.
 
Lisu ndio ana hali ngumu ugombea Uraisi wenzie alikuta wamemwandaa Luhaga Mpina ambaye tayari ana kadi ya Chadema

Na Mbowe anataka kugombea uraisi

Hivyo ngoma bado nzito kwa Lisu
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Cdm hawaigi chochote kwenye hicho chama kizee. Nadhani umeona hata uchaguzi wao haukuwa na upuuzi wa kupita kihuni.
 
Kunafukuta Moshi wapi wewe?

Mkutano mkuu una nguvu ya kufanya maamuzi yeyote mazito na yakawa halali mradi yapitishwe kwa wingi wa kura za wajumbe

Kinachofuata wakiamua ni utekelezaji tu
Alipata kura ngapi huyo mkojani?
 
Lisu ndio ana hali ngumu ugombea Uraisi wenzie alikuta wamemwandaa Luhaga Mpina ambaye tayari ana kadi ya Chadema

Na Mbowe anataka kugombea uraisi

Hivyo ngoma bado nzito kwa Lisu
Katika makosa cdm hawatarudia ni kuokota hizo takataka za ccm na kuzipa nafasi za kugombea. Chini ya utawala wa dhalimu magu ilionyesha jinsi gani wanaccm ni mdebedwo nje ya siasa za mbeleko ya vyombo vya dola. 95% walioenda kuunga juhudi chini ya utawala wa shetani yule, ni wale waliokuwa wanaccm kabla.
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Kwa tume ipi,? No reform, no election Iko wapi
 
Cdm hawaigi chochote kwenye hicho chama kizee. Nadhani umeona hata uchaguzi wao haukuwa na upuuzi wa kupita kihuni.
CCM wanakuja na mawazo ya usingizini tu.
images - 2025-01-18T212152.563.jpeg
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
LINI CCM WALITOA HIZO FOMU?
WANA CCM WANGAPI WALIZICHUKUA HIZO FOMU?
 
Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza

Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti

Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Hivi ccm Tiyari kwani? Ile ilikua Drama ngoma bado
 
Back
Top Bottom