johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Watoe muda muafaka, kutokana na katiba na taratibu za CHADEMA, katiba ya nchi, na ratiba ya tume ya uchaguzi....wakitoa mapema sana wanaweza fanyiwa mizengwe na mamlaka zikishirikiana na chama cha kijaniHapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Thubutu....wanasubiri makombo.....kutoka green party!Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
System ya CDM ni tofauti kabisa na ile ya ccm. Hayo tutayafanya kwa kupitia democratic process na sio mtu kujichagua mwenyewe kama ilivyotokea cccm.Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Kwani kuna Kigogo yeyote katika CCM?Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Hizi pombe za mchana unazokunywa bila kula matokeo yake ndiyo haya unaropoka tu.Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Chadema hela tu za kuchapa fomu tu hawanaThubutu....wanasubiri makombo.....kutoka green party!
CCM hawajatoa form, kuna watu wamejipitisha majina yao kienyeji bila kufuata kariba yao - kunafukuta moshi huko, Samia ana hali ngumuHapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Mariah sarungi anatembeza bakuli kwa wahisani...Trump kapiga stop michongo ya upinde pagumu sana kwa mwenyekiti mpya!Chadema hela tu za kuchapa fomu tu hawana
Achilia mbali za kuitisha vikao na kulipa posho wajumbe wa vikao
Kunafukuta Moshi wapi wewe?CCM hawajatoa form, kuna watu wamejipitisha majina yao kienyeji bila kufuata kariba yao - kunafukuta moshi huko, Samia ana hali ngumu
UWT hamnaga akili kweli, CCM walitoa lini form ya kugombea u-Rais?Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Sahihi Chadema na Ngo zao za akina Anael nkya,za akina Ole ngurumo ,nk zilikuwa zikipokea pesa kibao kisha kurusha lipa namba Chadema wanunue magari,kulipa wajumbe wa mikutano,kununua vitu mbalimbali nk tiketi za kwenda huko na huko,warsha na semina sijui za kuhamasisha uchaguzi nkMariah sarungi anatembeza bakuli kwa wahisani...Trump kapiga stop michongo ya upinde pagumu sana kwa mwenyekiti mpya!
Tena walifanya jambo la hovyo kabisaCCM hawajatoa form, kuna watu wamejipitisha majina yao kienyeji bila kufuata kariba yao - kunafukuta moshi huko, Samia ana hali ngumu
Uliona kuna kura zozote zilizopigwa kumteua mgombea?Kunafukuta Moshi wapu wewe
Mkutano mkuu una nguvu ya kufanya maamuzi yeyote mazito na yakawa halali mradi yapitishwe kwa wingi wa kura za wajumbe
Kinachofuata wakiamua ni utekelezaji tu
UWT mtasubiri snSahihi Chadema na Ngo zao za akina Anael nkya,za akina Ole ngurumo ,nk zilikuwa zikipokea pesa kibao kisha kurusha lipa namba Chadema wanunue magari,kulipa wajumbe wa mikutano,kununua vitu mbalimbali nk tiketi za kwenda huko na huko,warsha na semina sijui za kuhamasisha uchaguzi nk
Michongo ya upinde ndio kwa heri tena
Maria Sarungi ajiandae kuishi kwa kula Githeri ambayo ni makande ya kipare yanayoliwa Kenya kila siku
Tangu 2015 CCM hawajawahi kutoa formUliona kuna kura zozote zilizopigwa kumteua mgombea?
2015 ilitoka fomu moja tu. 2025 hata hiyo fomu haijatolewa kabisaTangu 2015 CCM hawajawahi kutoa form