Ni kuuliza wanaisema ndio wasimame au waseme sivyoUliona kuna kura zozote zilizopigwa kumteua mgombea?
CCM ni matapeli haswa2015 ilitoka fomu moja tu. 2025 hata hiyo fomu haijatolewa kabisa
Lisu ndio ana hali ngumu ugombea Uraisi wenzie alikuta wamemwandaa Luhaga Mpina ambaye tayari ana kadi ya ChademaMgombea wa ccm ni mwepesi kama .... hadi wana ccm wenyewe hawamtaki (nayeye analijua hilo ndo maana amejichagua). Wanasema ni raia wa nchi jirani. Wanasema mwaka huu wapo na Tundu Lissu tu.
Ngoja tusubiri tuone.Lisu ndio ana hali ngumu ugombea Uraisi wenzie alikuta wamemwandaa Luhaga Mpina ambaye tayari ana kadi ya Chadema
Na Mbowe anataka kugombea uraisi
Hivyo ngoma bado nzito kwa Lisu
Cdm hawaigi chochote kwenye hicho chama kizee. Nadhani umeona hata uchaguzi wao haukuwa na upuuzi wa kupita kihuni.Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Alipata kura ngapi huyo mkojani?Kunafukuta Moshi wapi wewe?
Mkutano mkuu una nguvu ya kufanya maamuzi yeyote mazito na yakawa halali mradi yapitishwe kwa wingi wa kura za wajumbe
Kinachofuata wakiamua ni utekelezaji tu
Mnyika binadamu pia anawinda pesa piaMnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Uongo 2015 wagonbea walikuwa wengi,Magufuli, Lowassa,Membe nk walipewa fomu wote2015 ilitoka fomu moja tu. 2025 hata hiyo fomu haijatolewa kabisa
Katika makosa cdm hawatarudia ni kuokota hizo takataka za ccm na kuzipa nafasi za kugombea. Chini ya utawala wa dhalimu magu ilionyesha jinsi gani wanaccm ni mdebedwo nje ya siasa za mbeleko ya vyombo vya dola. 95% walioenda kuunga juhudi chini ya utawala wa shetani yule, ni wale waliokuwa wanaccm kabla.Lisu ndio ana hali ngumu ugombea Uraisi wenzie alikuta wamemwandaa Luhaga Mpina ambaye tayari ana kadi ya Chadema
Na Mbowe anataka kugombea uraisi
Hivyo ngoma bado nzito kwa Lisu
Kwa tume ipi,? No reform, no election Iko wapiHapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
CCM wanakuja na mawazo ya usingizini tu.Cdm hawaigi chochote kwenye hicho chama kizee. Nadhani umeona hata uchaguzi wao haukuwa na upuuzi wa kupita kihuni.
LINI CCM WALITOA HIZO FOMU?Hapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼
Hivi ccm Tiyari kwani? Ile ilikua Drama ngoma badoHapo Kenya Uchaguzi ni 2027 Lakini kampeni za uRais na Ubunge zimeshaanza
Sasa Chadema msituletee ugomvi tena kama ule wa Uchaguzi wa Mwenyekiti
Mnyika toa Fomu msisubiri makapi ya CCM muyauzie nafasi 🐼