CHADEMA-Tonetone , Kuna Mbinu nataka niwashauri tena ili Kuongeza mapato ya Chama kupitia Mikutano ya Hadhara!!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Kama nilivyoandika wakati Fulani kua kwenye Uzi huu kua Pre GE2025 - CHADEMA mnapoteza Mamilioni ya FEDHA kwenye mikutano ya Hadhara, anzeni kupitisha Makapu mikutanoni Mvune Cash !!

Naomba Leo nichukue tena nafasi, Kwa Kiongozi wa Chama unayezunguka kwenye mikutano ya NRNE, nitumie Meseji DM .

Nina mbinu ambayo ninauhakika itakua inaongeza Mapato ya Tonetone mara mbili ya Kila Mkutano , yaan Kesho Changizo la Tonetone litakua mara mbili ya Leo.

Sasa Mbinu hii sitaki kuiweka Wazi haya Ma CCM yakiichukua .
 
Kama ilivyo kanisani, baada ya mkutano ipitishwe Tone Tone kama ilivyo sadaka kwenye mikusanyiko ya kila Jumapili.
 
Kama nilivyoandika wakati Fulani kua kwenye Uzi huu kua Pre GE2025 - CHADEMA mnapoteza Mamilioni ya FEDHA kwenye mikutano ya Hadhara, anzeni kupitisha Makapu mikutanoni Mvune Cash !!

Naomba Leo nichukue tena nafasi, Kwa Kiongozi wa Chama unayezunguka kwenye mikutano ya NRNE, nitumie Meseji DM .

Nina mbinu ambayo ninauhakika itakua inaongeza Mapato ya Tonetone mara mbili ya Kila Mkutano , yaan Kesho Changizo la Tonetone litakua mara mbili ya Leo.

Sasa Mbinu hii sitaki kuiweka Wazi haya Ma CCM yakiichukua .
Sasa Mbinu hii sitaki kuiweka Wazi haya Ma CCM yakiichukua .📌🔨✌🏿
 
Makamanda waanze kutoa sadaka.
Kama wakusanyaji hawatatoweka na hayo makapu ya michango 🤔🙄
 
Back
Top Bottom