mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,344
- 12,472
Ulishawahi kubeti?Rais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Magufuli ni laana kwa Tanzania. Hadi iondoke ndiyo tutapata maendeleoRais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Magufuli ni laana kwa Tanzania. Hadi iondoke ndiyo tutapata maendeleo
Vice versa is trueSifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili ?
Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?
Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?
Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?
Na je adhabu aliyopewa mgombea wa Ccm kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
Kama hana haja ya kampeni mbona analazimika muda mwingine hadi kupiga magoti? Tatizo ni nini?Rais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Lissu bado anaumwa halafu anajifanya kafungiwa ili upumzke ,Tume wanatumika vibayaEt nn????
Vice versa is true
Siku huyu Mzee akitutoka ghafla warithi huko mtauana sana kugombania fitoRais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Rais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Kama hana haja ya kampeni mbona analazimika muda mwingine hadi kupiga magoti? Tatizo ni nini?
Rais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili ?
Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?
Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?
Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?
Na je adhabu aliyopewa mgombea wa Ccm kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
Sifa ya kikatiba inadai mgombea awe na afya njema.
Swali la kujiuliza waliripotisha vyeti vya madaktari kwa ofisi za tume?
Je huu mwenendo wa mgombea huyu kuwa na mapumziko mengi yanaashiria kuwa afya ya bwana Tundu sio nzuri hivyo hata chadema hawakuliangalia hili ?
Hadi wachapishe form moja tena kwa mgonjwa peke yake?
Hivi huwa wanamtafutia matibabu ya kitaalamu anapokuwa na hizi midterm au huwa anajipooza na dawa za kinyaturu toka ubelgij?
Hivi huu si muda mwafaka kwa chadema kutuambia ukweli juu ya nini chanzo cha mapumziko mengi hivyo?
Na je adhabu aliyopewa mgombea wa Ccm kusimamishwa for 7 days haihusiani na kuweka ulinganyo sawa na mgombea anaenda likizo ya 8 days?
Haha kweli laana ya Mungu ina baraka imeleta midege, mabarabara, mahospitali, elimu bure, mikopo ya elimu ya juu maradufu, madawa hospitalini maradufu, SGR, Nyerere dam, hospital Kila kata, na mengi mengiiiiii...laana ya Aina yake wananchi zaidi ya asilimia 90 wapo nyuma ya Magu na serikali yake...jomba katafute kazi ya kufanya hata kilimo cha mbogamboga kinafaaMagufuli ni laana kwa Tanzania. Hadi iondoke ndiyo tutapata maendeleo
Zinajulikana kweli kujenga uwanja wa ndege kijijini.Rais Magufuli hata asipopiga kampeni ushindi uhakika ni 98%
Kazi zake zinajulikana
Aliyetajwa hapa ni toto Tundu saaa Jiwe kaingiaje?