Uchaguzi 2020 CHADEMA, tuambieni ukweli juu ya mgombea wenu bwana Tundu Lissu

Uchaguzi 2020 CHADEMA, tuambieni ukweli juu ya mgombea wenu bwana Tundu Lissu

Huo uzushi wenu mnaolishwa na lissu umepayuka
Uwongo uwongo
Zinajulikana kweli kujenga uwanja wa ndege kijijini.

Mtoto wa Dada , mlipaji mkuu serikali.

Mpwa ni mkandarasi mkuu chato.

Bado na mbuga kahamishia kwao hadi wale tausi wa mwalimu.

Huku kigoma wananchi wanakunywa maji tope, kule wanasomea kwenye nyasi.

Ama kweli mzalendo.
 
Kwanza wewe sio Mtanzania, mambo ya watanzania hayakuhusu..nenda katafute kazi kule...pamoja na propaganda zoote hizo bado wananchi zaidi ya asilimia 90 wapo na Magufuli
 
Kwanza wewe sio Mtanzania, mambo ya watanzania hayakuhusu..nenda katafute kazi kule...pamoja na propaganda zoote hizo bado wananchi zaidi ya asilimia 90 wapo na Magufuli
Mnachekeshaga[emoji23][emoji23]
 
Haha kweli laana ya Mungu ina baraka imeleta midege, mabarabara, mahospitali, elimu bure, mikopo ya elimu ya juu maradufu, madawa hospitalini maradufu, SGR, Nyerere dam, hospital Kila kata, na mengi mengiiiiii...laana ya Aina yake wananchi zaidi ya asilimia 90 wapo nyuma ya Magu na serikali yake...jomba katafute kazi ya kufanya hata kilimo cha mbogamboga kinafaa
Unaongea ndege wakati hata bibibyako hawezi kuzipata. Ushamba ni mzigo

Rais gani Tanzania hakuwahi kujenga dams za umeme?

Rais yupi hakujenga madaraja?
Rais yupi hakujenga barabara?
 
Magufuli ni laana kwa Tanzania. Hadi iondoke ndiyo tutapata maendeleo

Unajua maana ya Laana??

Unaiona Tanzania ya sasa kijana..Haikuwa hivi Kuna Maendeleo ya Moja kwa Moja yanaonekana kabisa.

Au maendeleo gani mnataka??
Je,Tanzania iwe kama Ubelgiji ndani ya 5yrs?

Tafakari.
 
Rais Magufuli ni kipenzi cha Watanzania

Kuna laana zaidi ya kusaliti Nchi km yule wa Chadema ?
Chunguza history ya watu wawili hao. Utajua nani ni mzalendo halisi kwa taifa lake na yupi ana act uzalendo kwa taifa hili.
 
Sisi wananchi hatuwezi mchagua Lissu dalali wa kuuza rasilimali zetu za nchi.
 
Back
Top Bottom