CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.

Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.

Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA

Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
 
⌚100 kwani hujui halipo ?
 
Phaler wewe, hizo ni pesa za wananchi
 
Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.

Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.

Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA

Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.

Tuwapongeze kwa kutumiza majukumu yao
 
Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.

Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.

Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA

Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
Hakuna hela ya chama inayotumika kusambaza umeme kwa wananachi! Fedha zote za CCM hutumika kuwapa mataga buku 7 pale mitaa ya Lumumba!
 
Kuna baadhi ya wanachadema wanajitambua sana, ndio maana hawakusita kumtupia mwenyekiti wao makopo ya maji na kumzomea kule Hai, baada ya kugundua kuwa amekuwa na tabia ya kuwatumia kama daraja kila uchaguzi unapokaribia ili afikie malengo yake ya kisiasa kama vile kushinda ubunge. Na baada ya hapo anawatelekeza na kukimbilia Dar kula upepo mzuri wa bahari, huku akiliacha jimbo halina mwakilishi wa kuwasaidia kuomba umeme, barabara, hospital, shule, vitu vya polisi kwa ajili ya usalama wao nk. Aisee wanachadema wazalendo wakishirikiana na wanaccm, mwaka jana walimkomesha mwenyekiti wao na genge lake kwa kuwanyima kura ktk uchaguzi mkuu.
 
Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.

Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.

Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.

Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA

Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
Tuondolee utaahira wako wa kiccm hapa
 
Umeme ni biashara mana hauwaki bure.
Ni wapumbavu tu waliochelewesha kupeleka biashara hii kubwa kwa wananchi kwa sababu ya ujinga wa kisiasa.

Umeme wa REA tunauchangia wote kwenye mafuta.

Viongozi wote wa CCM na vyombo vya Dola hawauchangii mana wanatumia magari ya Serikali na mafuta ya bure.

Serikali ya CCM hawastahili kusifiwa kwa umeme ambao hawakuuchangia .

Sent from my TECNO L8 Lite using JamiiForums mobile app
 
Mimi sio CDM ,lakini washukuru nn wakati ndo kazi yao,,,kwani wametoa hela mfukoni mwao?
 
Tanzania ina wajinga kupindukia.Kwa nini tuishukuru serikali kwa kutimiza wajibu wake ambao upo kwa mujibu wa sheria?

Unashindwa kuelewa kuwa sisi wananchi kazi yetu ni kuwapa serikali hela za kutekeleza miradi mbalimbali pamoja na kuwalipa ujira wa kutekeleza miradi hiyo?

Sasa hapo tuwashukuru kwani kuna kazi ya bure au fadhila ambayo wametufanyia?Tutawaelimisha juu ya haya mambo marahisi kiasi hiki hadi lini?Mbona ni concept ndogo sana kuelewa?

Wakati wenzako wanajifunza haya mambo shuleni kwenye somo la civics wewe ulikuwa busy kula makamasi?

Halafu sad enough siku hizi JF imekuwa ni uwanja maarufu sana wa wajinga kama wewe kuja kuonyesha ujinga wao bila hata aibu usoni.Watu kama ninyi kule kwetu huwa tunawaita kuwa ni 'masembo'(wajinga).
 
Ni wajibu wenu au kama mnaona umeme chadema wanaufaidi toeni nguzo
 
Kuna baadhi ya wanachadema wanajitambua sana, ndio maana hawakusita kumtupia mwenyekiti wao makopo ya maji na kumzomea kule Hai, baada ya kugundua kuwa amekuwa na tabia ya kuwatumia kama daraja kila uchaguzi unapokaribia ili afikie malengo yake ya kisiasa kama vile kushinda ubunge. Na baada ya hapo anawatelekeza na kukimbilia Dar kula upepo mzuri wa bahari, huku akiliacha jimbo halina mwakilishi wa kuwasaidia kuomba umeme, barabara, hospital, shule, vitu vya polisi kwa ajili ya usalama wao nk. Aisee wanachadema wazalendo wakishirikiana na wanaccm, mwaka jana walimkomesha mwenyekiti wao na genge lake kwa kuwanyima kura ktk uchaguzi mkuu.
Kuliipilia madeni ya chadema kwa Gaidi...
 
Back
Top Bottom