ostrichegg
JF-Expert Member
- Jun 30, 2013
- 12,050
- 6,199
Kwani kazi serikali ni nini?Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA
Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.