Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
⌚100 kwani hujui halipo ?Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA
Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
Phaler wewe, hizo ni pesa za wananchiNi adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA
Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA
Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
Miss you queenTunaishukuru CCM kwa kutupatia oxygen safi na ya bure Watanzania wote duniani.
Wameitumia vizuriKwani hiyo pesa waliitoa mifukoni mwao?
Hakuna hela ya chama inayotumika kusambaza umeme kwa wananachi! Fedha zote za CCM hutumika kuwapa mataga buku 7 pale mitaa ya Lumumba!Ni adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA
Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
Unamaanisha CCM walifadhili usambazwaji wa umeme vijijini ?Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Tuondolee utaahira wako wa kiccm hapaNi adui muombee njaa lakini sio kila wakati.
Pia mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
Tunatakiwa kuwashukuru Ccm kwa kusambaza umeme vijini.
Huko nyuma mafuta ya taa yalikuwa yanamwakigia kwenye mboga na ugali usiku wakati akina mama wakitumia koroboi kupika,leo ni umeme tu wa ReA
Tuwapongeze Ccm juu ya hili bila hata kinyongo.
Haaa... siyo. Wangeweza kupandisha mishahara au kununulia Vifaru na ndege vita.Kwani hiyo pesa waliitoa mifukoni mwao?
Kuliipilia madeni ya chadema kwa Gaidi...Kuna baadhi ya wanachadema wanajitambua sana, ndio maana hawakusita kumtupia mwenyekiti wao makopo ya maji na kumzomea kule Hai, baada ya kugundua kuwa amekuwa na tabia ya kuwatumia kama daraja kila uchaguzi unapokaribia ili afikie malengo yake ya kisiasa kama vile kushinda ubunge. Na baada ya hapo anawatelekeza na kukimbilia Dar kula upepo mzuri wa bahari, huku akiliacha jimbo halina mwakilishi wa kuwasaidia kuomba umeme, barabara, hospital, shule, vitu vya polisi kwa ajili ya usalama wao nk. Aisee wanachadema wazalendo wakishirikiana na wanaccm, mwaka jana walimkomesha mwenyekiti wao na genge lake kwa kuwanyima kura ktk uchaguzi mkuu.