CHADEMA tuishukuru CCM kwa kusambaza umeme vijini

Kwani kazi serikali ni nini?
 
Kwani hiyo pesa waliitoa mifukoni mwao?
Inabidi Yesu arudi tena duniani aje aililie Tanzania. Kupata umeme baada ya miaka 60 ya uhuru inaonekana kama hisani iliyofanywa na CCM, we are doomed!
 
Jarheaded mug.....
 
Ni sawa na kusema tuwashukuru wachina kwa kujenga barabara wakati huo huo tunawalipa mabilioni kwa kazi hiyo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…