Dreadnought
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,876
- 3,942
Anasingiziwa kivipi, legacy yake Bado inaishi kumbuka hizi mambo za kuenguliwa yeye ndo muasisiMagufuli alisingiziwa mengi, mbona hayupo sasa na bado wagombea wa upinzani wanapukutishwa?
Hapa kijijini mgombea WA Chadema kapita ila zipo tetezi anajiandaa kujitoa dakika za mwisho, bila shaka katika dau lake!