CHADEMA tumeshindwa kujisimamia, hatuwezi kuikosoa CCM

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.

Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.

Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.

Hii dalili tosha kuwa chama hakijisimamii na wanachama wana maamuzi ya kujitakia wao.

Hii ni wazi hatuwezi kuikosoa CCM.
 
Wewe pamoja na huyo aliyekutuma mmefilisika kisiasa na kupayuka kiitikadi.
Hata yule darasa la saba anawazidi akili.
Kuna siku nitawatukana Kihaya tukosane bure
 
 
CHADEMA haipiti account ya chama ila CCM wao wanapora hazina kabisa!
 
Naona huu mchezo wenu wa kuigiza kuwa ni wanacdm huku jukwaani, mmehamishia mpaka kwenye TV na kuvaa tshirt za katiba mpya halafu mnaipinga!
Haya majamaa ni malofa kupindukia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…