mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Katika watu wa chadema wewe ndio mtu wa kwanza kuwa na akili ya kutafakari.Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.
Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.
Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.
Hii dalili tosha kuwa chama hakijisimamii na wanachama wana maamuzi ya kujitakia wao.
Hii ni wazi hatuwezi kukuosoa Ccm.
Wengine wanapelekwa tu hata kuhoji hawawezi wanaimbishwa nyimbo tu na kukaririsha "tunataka katiba mpya,tunataka katiba mpya"
Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app