mbu wa dengue
JF-Expert Member
- Jun 2, 2014
- 8,860
- 11,554
Katika watu wa chadema wewe ndio mtu wa kwanza kuwa na akili ya kutafakari.Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.
Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.
Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.
Hii dalili tosha kuwa chama hakijisimamii na wanachama wana maamuzi ya kujitakia wao.
Hii ni wazi hatuwezi kukuosoa Ccm.
Bora CCM hata kama wanaiba ila tunaona baadhi ya mambo mazuri wayafanyayo,je nyinyi chadema mmefanya jambo gani zuri la kuwashawishi wananchi?CHADEMA haipiti account ya chama ila CCM wao wanapora hazina kabisa!
Kwani wewe ni mgeni hapa jamvini? Huyo Kamanda Asiyechoka tunamjua hadi kwa sura sio mwanachadema.Umetumia kigezo kipi kujiridhisha kuwa huyu sio mwana CHADEMA......??
Ahaaa, kamanda Mimi ni mwanaCdm hai, ila sipendi siasa za ulaghai.Kwani wewe ni mgeni hapa jamvini? Huyo Kamanda Asiyechoka tunamjua hadi kwa sura sio mwanachadema.
Watu hawachangii kwa kuwa wanakufahamu kuwa nimpigania tumbo lako.Sura za hoja zako ni visa tu na UPINZANI kwa kujifanya cdmAhaaa, kamanda Mimi ni mwanaCdm hai, ila sipendi siasa za ulaghai.
Huwezi kuwa ni mwanafamilia halafu kutwa kuibomoa familia. Toka nimeanza kukusoma kazi yako ni kumshambulia Mbowe na CHADEMA, hivyo kamwe huwezi kuwa mwanachadema.Ahaaa, kamanda Mimi ni mwanaCdm hai, ila sipendi siasa za ulaghai.
Kumbe kuwa na msimamo thabiti na madhubuti ndio kosa?Huwezi kuwa ni mwanafamilia halafu kutwa kuibomoa familia. Toka nimeanza kukusoma kazi yako ni kumshambulia Mbowe na CHADEMA, hivyo kamwe huwezi kuwa mwanachadema.
ukiona hivyo ujue mwenzenu amemka kutoka utumwani,amefunguka.Huwezi kuwa ni mwanafamilia halafu kutwa kuibomoa familia. Toka nimeanza kukusoma kazi yako ni kumshambulia Mbowe na CHADEMA, hivyo kamwe huwezi kuwa mwanachadema.
CCM ilishajifia sasa hivi imebakiwa na warembuaji wanaoitwa waenezi.
Namjua ndani nje.
Kwa hiyo kuwa mwana CHADEMA hautakiwi kuwa na mawazo kinzani dhidi ya mwenyekiti.....??Huwezi kuwa ni mwanafamilia halafu kutwa kuibomoa familia. Toka nimeanza kukusoma kazi yako ni kumshambulia Mbowe na CHADEMA, hivyo kamwe huwezi kuwa mwanachadema.
Wewe ndiye umeshindwa kujisimamia ndiyo maana unaishi kwa matumaini ya kupata uteuzi huko CCM.Tuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.
Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.
Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.
Hii dalili tosha kuwa chama hakijisimamii na wanachama wana maamuzi ya kujitakia wao.
Hii ni wazi hatuwezi kukuosoa Ccm.
Ulishaona mbu anamchangia binadamu damu? Huyo hapo kula yenyewe anategemea kuuza sura ndiyo mkono uende kinywaniSasa si utoke tu CHADEMA...?!Uache walio tayari kuchanga?
Kwa hiyo kuwa mwana CHADEMA hautakiwi kuwa na mawazo kinzani dhidi ya mwenyekiti.....??
Tumekusikia pro CCMTuna maamuzi ya ajabu ambayo yanaonyesha kuwa chama hakipo makini.
Jambo dogo tu utasikia michango ya kila aina. Na michango yenyewe haipitii akaunti ya chama.
Mbowe kaswekwa ndani, kila mtu anataka kuanzisha michango. Tena haipitii kwenye akaunti ya chama.
Hii dalili tosha kuwa chama hakijisimamii na wanachama wana maamuzi ya kujitakia wao.
Hii ni wazi hatuwezi kukuosoa Ccm.
Nakushauri uwe na busara, maana unaelekea kubaya.Kamanda Asiyechoka ndio majembe ya msemaji wa CCM.
Ndugu zake wengine Ni wale waliovaaga tsheti za KATIBA MPYA at the same time wanapenda wanaotaka katiba mpya.
Makalio yenu ndio ninayotumia kubuni mbinu.
Ili kuwa na legiticimacy kuibana Ccm lazima tujikosoe na kubadilika kuondoa mapungufu yetu. sawa Kamanda?Mawazo kidhani ni tofauti na kumshambulia kiongozi wako. Isitoshe kuna vikao mahali pa kupeleka maoni yako. Uwe mwanacdm halafu uumizwe na cdm kuipinga ccm, eti kisa una tofauti na mwenyekiti!?
Mawazo kinzani yanaruhusiwa ila huyo Kamanda Asiyechoka hana mawazo kinzani bali ana mawazo ya kuisambaratisha CHADEMA.Kwa hiyo kuwa mwana CHADEMA hautakiwi kuwa na mawazo kinzani dhidi ya mwenyekiti.....??
Pole sana jitahidi usilie kwa sauti. Hivi kwani kwa kufumba macho ulidhani ndio umejificha?Nasisitiza dogo hujitambui. Unanijua kivipi?