Mag3
Platinum Member
- May 31, 2008
- 13,413
- 23,592
Naomba kutoa tahadhari kwamba Countrywide ni mfano halisi ya nzi wa kijani waliofyatuliwa kwenye mikesha ya mwenge na kuandaliwa kwa shughuli moja tu la kulitetea dampo ambalo pamoja na kuoza limeng'ang'ania uongozi wa taifa hili hata kama halina uwezo.
Njia mojawapo wanayotumia hawa nzi ni kuvamia JF na kuhakikisha linageuka na kuwa dampo ambalo kwa nzi ni makao ya kudumu. Ukihesabu michango yake huyu nzi, utagundua anavyorukaruka kama vile kapotea kwa sababu nzi na dampo ni kama pete na kidole.
Hata hivyo dawa ya nzi ni ndogo sana nayo ni kuhakikisha kwamba kwenye dampo taka zote zinatiwa kiberiti. Ukitaka kujua kwamba Countrywide ni nzi cheki tu kumbukumbu zake anavyotua hovyo popote bila kuangalia katua wapi mpaka anasahau hii ni JF, kwenye moto!
Kwa staili hii naona Countrywide akizidi kuchanganyikiwa na msije mkashangaa akikiri mchana kweupe alipo na huko si kwingine bali kwenye dampo hasa! Ni wapi huko? Hilo nawaachieni lakini ukweli ni kwamba ni rahisi sana kupang'amua kwa harufu yake...dampo ni dampo tu...