CHADEMA: Tuna dhamira ya kushika dola 2025


Mkuu narudia tena, mimi ni shabiki wa kutupwa wa Cdm, ila sio mwanachama wa CDM, wala chama chochote cha siasa. Sina popote ninapounga mkono hayo maridhiano ya kitapeli ya kina Mbowe. Na post zangu zote sijawahi kuunga mkono huo utapeli uitwao maridhiano, na uchaguzi ninasema kabisa kwa sasa Tanzania hakuna uchaguzi, bali kuna maonyesho ya ujinga wa mtu mweusi kwenye box la kura.

Njia ninazopendekeza za kuitoa CCM madarakani, namba moja ni machafuko, au 2, mapinduzi ya kijeshi. Mbinu hizi sisubiri kuitwa na viongozi wa CDM, au Kuremba kwenye kuzitaja. Ndio maana nimekuambia kama una mbinu weka hapa hadharani, hayo mambo ya kutaka kuitwa na viongozi wa CDM ni kupoteza muda. Viongozi wa CDM waache wafuate njia wanayoamini maana wako kisiasa zaidi. Ww weka mbinu hapa kwenye mahakama ya umma inayotegemea nguvu ya umma.
 
Yes Lakini sipo tiyari acha
 
Tafuteni tu njia nyingine ya kuingia madarakani sio kwa kuraa ibeni tu na nie kadri muwezavyo dawa ya moto ni moto haki wekeni pembeni kwanza na nie uweni, tekeni, ibeni, hongeni, ilimradi muingie madarakani lkn ety kwa kura Tanzania hii sidhan
 
Mimi nikajuwa Wana dhamira ya kujenga ofisi na kueleza mamilioni ya Ruzuku waliyokuwa wanapokea yalitafunwa na Nani na Wana mpango gani wa kuyarudisha
 
chadema kwanza tafuteni ilani ya chama wananchi wanataka kujua mtaifanyia nini tanzania mkishika dola ili mpate wapiga kura, chama hakina ilani yoyote wao kushinda mtandaoni na kulalamika tu, 2025 mtapata kura za wachagga tu hamtashinda
 
🤣🤣🤣safi sana
 
chadema kwanza tafuteni ilani ya chama wananchi wanataka kujua mtaifanyia nini tanzania mkishika dola ili mpate wapiga kura, chama hakina ilani yoyote wao kushinda mtandaoni na kulalamika tu, 2025 mtapata kura za wachagga tu hamtashinda
acha chuki ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…