Pre GE2025 CHADEMA: Tunaendelea na maandamano, maombolezo yanaisha kesho Februari 14, 2024

Pre GE2025 CHADEMA: Tunaendelea na maandamano, maombolezo yanaisha kesho Februari 14, 2024

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Suley2019

JF-Expert Member
Joined
Oct 7, 2019
Posts
2,203
Reaction score
5,610
Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), John Mnyika amesema maandamano yataendelea kama ilivyopangwa kwa kuwa siku tano za maombolezo zitamalizika kesho Februari 14, 2024.



Pia soma:
 
Kiongozi wa Chadema Benson Kigaila (sijui cheo chake) ameitangazia Dunia kupitia Wasafi FM radio kwamba maandamano ya Mwanza Yako pale pale siku ya kesho na viongozi wa kitaifa watashiriki.

"Maandamano Yako pale pale na viongozi wa kitaifa watashiriki then kesho yake wataelekea Monduli kumzika Lowassa".

Kigaila ameongeza, "Madai ya maandamano ni kutaka Serikali iwapunguzie wananchi gharama za maisha na hili linamgusa kila mwananchi bila kujali itikadi na ndio maana Kuna baadhi ya viongozi hata wa CCM wanatuunga mkono. Pili ni kumtaka Rais Samia asitishe kusaini miswada mitatu ya sheria za uchaguzi kuwa sheria. Awasikilize wananchi. Kesho umati utazidi wa Dar es salaam'.

Credit: Wasafi FM
 
Kiongozi wa Chadema Benson Kigaila (sijui cheo chake) ameitangazia Dunia kupitia Wasafi FM radio kwamba maandamano ya Mwanza Yako pale pale siku ya kesho na viongozi wa kitaifa watashiriki.

"Maandamano Yako pale pale na viongozi wa kitaifa watashiriki then kesho yake wataelekea Monduli kumzika Lowassa",

Kigaila ameongeza, "madai ya maandamano ni kutaka Serikali iwapunguzie wananchi gharama za maisha na hili linamgusa kila mwananchi bila kujali itikadi na ndio maana Kuna baadhi ya viongozi hata wa CCM wanatuunga mkono. Pili ni kumtaka Rais Samia asitishe kusaini miswada mitatu ya sheria za uchaguzi kuwa sheria. Awasikilize wananchi. Kesho umati utazidi wa Dar es salaam'.

Credit: Wasafi Fm
Hawa kenge wa cdm ,wameiga slogan ya raila eti maisha magumu ,ni lini maisha yalishawahi kuwa mapesi?
 
Tulitegemea wangeomboleza kwa kuondoka kwa mzee wetu EDO ukizangatia ya kwamba yeye ndio alifanikiwa kuleta wabunge wengi kupitia cdm.
Maombolezo ya Kitaifa yanahitimishwa leo pale Azania Front
 
Back
Top Bottom