Richard
JF-Expert Member
- Oct 23, 2006
- 15,692
- 23,038
Hicho ndicho kilichowafanya wapiga kura wa Tanzania waseme jambo lao kwenye box za kura.Yes, kuelekea 2025 lazima tujipange!
Moja ya vitu tunavyopaswa kuvishughulikia ni NGOME YETU YA ULINZI 🤣🤣🤣✌️
Yes, moja ya sababu zilizopekelea downfall ya CHADEMA in this election, ni pamoja na viongozi wetu kusumbuliwa na Police. mahakamani kila siku.
Sasa basi kuelekea 2025 let us have mawakili calibre ya ROBERT AMSTERDEM.
Ngome yetu ya ulinzi itakua strong hawa lawyers wakiwepo,
police wanasumbua upinzani sababu wanapokea maelezo toka juu, na huyo anaetoa maagizo (rais) anafanya anavyotaka sababu hamna mtu anaye Question maamuzi yake,sasa akipata mtu atakaechallenge decision zake atafikiria mara mbili kuhusu kukamata kamata hovyo!
Nimeona mawakili wa NJE ndio wanafaa sababu hawaogopi chochote and it’s too risky Wakili wa ndani -Tanzania kumpinga Mahufuli waziwazi ni kujitagutia kifo!
Lawyers from OUTSIDE the country will act as security ... thank
Wanawaogopa hao wazungu kwelikweli.
Mjifunze jamani, muangalie makosa yako wapi muanze upya na muwe wakali kwelikweli.
Ila sioni dalilihizo naona kama vile viongozi wenu watasambaratika kila mmoja ataenda anakokujua.
Huenda Tundu Lissu akarudi Ubelgiji maana maisha yake Tanzania yatakuwa magumu sana, atapata taabu sana kama hatajirudi na kauli zake.