CHADEMA tunahitaji wakina Robert Amsterdam watatu hivi

Hicho ndicho kilichowafanya wapiga kura wa Tanzania waseme jambo lao kwenye box za kura.

Wanawaogopa hao wazungu kwelikweli.

Mjifunze jamani, muangalie makosa yako wapi muanze upya na muwe wakali kwelikweli.

Ila sioni dalilihizo naona kama vile viongozi wenu watasambaratika kila mmoja ataenda anakokujua.

Huenda Tundu Lissu akarudi Ubelgiji maana maisha yake Tanzania yatakuwa magumu sana, atapata taabu sana kama hatajirudi na kauli zake.
 
Una akili timamu wewe kweli?kila wakili anaweza kufanyakazi popote anapojisikia?ndiyo mlitaka nchi nyie kweli?
 
Kwa akili zipi upinzani mtakaa vzr na kushinda?
 
Mkuu sijui km umeielewa hii mada, sijasema wazungu walete changes in our party but they should be there to act when our party leaders are harrased by police, this will stop INTIMIDATION from the government
Kwani wakili wa nje ya nchi ni lazima awe mzungu?
 
Una akili timamu wewe kweli?kila wakili anaweza kufanyakazi popote anapojisikia?ndiyo mlitaka nchi nyie kweli?

Hujaielewa hii mada, usinisumbue kukujibu upotolo wako
 
Yani mpinzani akiuke taratibu na Sheria za nchi asichuliwe hatua kisa ana wakili/mwanasheria wa kimataifa kutoka ulaya.
Hataamini anapigwa Tanganyika jerk brake ya Kwanza Central. Pale taratibu zinaendelea anapelekwa Kisutu. Sasa Amstadamu hii nchi sijui ataingia kupitia wapi kuja kumtetea. Atazuiwa tu airport arudi alipotoka.
 
Mnhhh kwa hio unaona sawa wapinzani viongozi kutishika na kunyanyaswa kwenye nchi yao wenyewe??ushaona wapi kiongozi wa CCM akinyanyaswa?? Wewe unaona hii ni sawa?
Kinacholeta shida ni upinzani wa kupinga kila kitu. Mtu mzima kuna anajua kuchuja zuri na baya, Sasa hadi kwenye zuri unalazimisha lionekane baya hapo ndio upinzani unapokuwa wa ovyo kabisa.
Upinzani unatoa hoja ndege hazijanunuliwa kwa kufuata utaratibu tumesikia na tumeanza kuelewa malalamiko yao, lakin Sasa kushupaliwa ndege zishikiliwe nje ya nchi hii ni shida zaid kuliko hata huo utaratibu waliolalamikia.
 
Sasa kama mawakili wa nyumbani akina Fatma Karume, Jebra and others mmewabana kila kona na kuwafitia mpaka leseni ya uwakili, ofisi kupigwa bomu etc unategemea waje wakupugie wewe lofa magoti huku haki zinavunjwa? Pumbavu sana!!
Nendeni mkapumuliwe huko kasombeni mabwabwa wengine waje kuwasaidia ila wataishia humuhumu mitandaoni
 
Mtu hata Ethiopia hamjawahi kufika muje kumtishia uingereza hamuoni Kama mnajisumbua?
Kwanza lazima mtambue sababu nyingine kubwa ya kukataliwa na watanzania ni huyu Amsterdam
 
Sera ya upinzani kuhusu maendeleo ya Tanzania mwaka huu ilikua ni ipi? Ukishindwa kufahamu kama hili ni tatizo kwenu basi hakika hali yenu kisiasa itazidi kuwa mbaya
 
Kwanza, upinzani kwa sasa wamepunguziwa nguvu, nguvu ya pesa, ruzuku itakuwa ndogo hence uwezo wa kujiendesha kama chama utakuwa mdogo hivyo basi chama kitakuwa hoi.

Pili, mnatakiwa kujifunza, usidhani watu wanafurahia kuona barua za akina Amsterdam, kama ulikuwa unamsoma huyo wakili na matamko yake, people weren't happy kusikia mtu from other parts of the world analikemea taifa huru. Therefore, hiring lawyers is okey to me, but not from western world. Sisi kama taifa huru hatutaki kusemewa na watu wa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…