Habari wanajf, leo nipo hapa kuzungumzia baadhi ya wapiga kura wetu. Ni kweli ili tushinde uchaguzi tunahitaji wapiga kura wengi sana sana ila kuna baadhi inatubidi kuwakataa.
Kwa nini tuwakubali watu ambao hawaeleweki? Chama kitaundwa na kuwa supported na watu wanaojielewa, sio kila mtu anakurupuka anajifanya ni mwanachadema au upinzani.
Wapiga kura hawa wanaoonekana kwenye video wanaweza kutumika kutunyima kura zaidi kutoka kwa watu wengine huko, hivyo watu wa aina hii HAPANA.
Chini nimeweka picha na video ya watu ambao wanasema nao watapigia kura chadema, ila tusiwakubali na ikibidi tuwapige marufuku kuleta mazoea kwenye chama.
Vipi Tena WAZEE WA FARAGHA hamuwataki Wanachama Wenu Si mbasikia wanasema Baba Yao Lissu Anatetea Haki zao.
Hahaha Dah nimecheka CHADEMA MMEFIKAJE HUKU hii in Laaana
Vipi Tena WAZEE WA FARAGHA hamuwataki Wanachama Wenu Si mbasikia wanasema Baba Yao Lissu Anatetea Haki zao.
Hahaha Dah nimecheka CHADEMA MMEFIKAJE HUKU hii in Laaana
Kila aina ya mbinu chafu yoyote haitaisaida ccm kupata kura.....na Lissu wala hana mpango wa kuweka bango wala kitu chochote, wala hakuna mziki mkubwa wala mdogo

Naona mmeanza kutengeneza propaganda!Uzuri hizi propaganda ziko mitandaoni ambako ndiko wasomi wengi na waelewa wapo!
Mleta mada anajulikana kabisa ni kada wa CCM na siku zote amekuwa akiisakama CDM!Leo kaja na huu upuuzi wa kipuuzi huku akijifanya anasimama upande wa CDM!Huu ni unafiki na wenye akili tulishajua malengo yako!