Uchaguzi 2020 CHADEMA tunahitaji wapiga kura wengi zaidi, ila kuna hawa wengine inabidi kuwakataa

hawa watoto siyo risk kabisa. wazazi wao walikula loss.
 
Imetengegenezwa
 
Hio video umeitoa wapi?
Kichefuchefu
 
Hizo umezipata wapi
Kichefuchefu
 
The file is infected.
 
Ha haa, nimecheka tu.
Ila kila mtanzania ana haki ya kupiga Kura na kuelezea Hisia zake.

Waache wapiganie Uhuru wao. Kama jamii tutaukataa na Kama katiba ya Sasa inaturuhusu sawa.

Vinginevyo tuwaacheni tu jamani.πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
CCM na ufuska ni kama uji na mgonjwa
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…