Uchaguzi 2020 CHADEMA tunahitaji wapiga kura wengi zaidi, ila kuna hawa wengine inabidi kuwakataa

Ha haa, nimecheka tu.
Ila kila mtanzania ana haki ya kupiga Kura na kuelezea Hisia zake.

Waache wapiganie Uhuru wao. Kama jamii tutaukataa na Kama katiba ya Sasa inaturuhusu sawa.

Vinginevyo tuwaacheni tu jamani.[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Hawa hatutaki kura zao
 
Usuziri chadema ina wanachama wanao jitambua wasomi na wenye akili za kuzaliwa hatu Danganyiki ata Bashite naye angevaa gauni akasema atapigia chadema kura tutamuelewa nia yake hawezi badilisha mawazo yetu nadhani iyo mnalijuwa mmenunuwa wagombea tukawambia mchukuweni na Mbowe ila CCM kwetu ni mzoga unao Nuka
 
Hawa wapoga kura ni kuwakataa
 
Made in Lumumba. Wakiwajibu msianze kulalamika kwa Mutungi na maela. CCM siasa za jukwaani zishawashinda.
 
Hawa ni watu waliokusanywa kabisa wakavalishwa nguo ili kuipa nguvu dhana ya ushoga aisee mbona nguvu kubwa inatumika kufanya haya???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…