Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,315
- 5,058
Sasa tutajua vipi kama kuna mafanikio kusajili wanachama?..bila tume huru ya uchaguzi huwezi kujua mafanikio au mapungufu ya cdm digital.
..baada ya yaliyotokea 2016 to 2020 si sahihi kwa cdm kushiriki uchaguzi wowote kabla
,tume, na sheria zetu za uchaguzi, hazijafanyiwa mabadiliko makubwa, na ya kimsingi.
Wapiga kura tunao wengi lkn miaka yoote ccm wamekuwa wakiyageuzaTumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane.
Sasa kama tunasajili wanachama kidijital tutajua vipi kama tumefanikiwa au la?
Maana ili kujua tuna mafanikio lazima tushiriki chaguzi ili kujua kama tunasapoti ya wapiga kura au hatuna kupitia wanachama wetu.
Tusipoteze muda kwa mbwembwe zisizo na maana
Mafanikio unayaona kulingana na database ya wanachama wako ndiyo maana ya digitalSasa tutajua vipi kama kuna mafanikio kusajili wanachama?
Kama hujamuelewa mleta mada ana agenda mbaya juu ya cdm...bila tume huru ya uchaguzi huwezi kujua mafanikio au mapungufu ya cdm digital.
..baada ya yaliyotokea 2016 to 2020 si sahihi kwa cdm kushiriki uchaguzi wowote kabla
,tume, na sheria zetu za uchaguzi, hazijafanyiwa mabadiliko makubwa, na ya kimsingi.
Sasa tutajua vipi kama kuna mafanikio kusajili wanachama?
Watakuelewa wachache sanaLeo hii tz ikivamiwa jiulize raia watakuwa upande gani?
Serikali inayowachosa raia wake iko prone to collapse in either way, internally or externally.
Hivi we jamaa una akili?Kama hujamuelewa mleta mada ana agenda mbaya juu ya cdm.
Nina akili nyingi sana hadi zinamwagikaHivi we jamaa una akili?
Kama wapoteza mudaa, waweza wahi pale mtaa wa kijani chaapu Kwa haraka voo, wao hawapoteziTumeshapanga kuwa hatutashiriki uchaguzi wowote ule mpaka tume huru ya uchaguzi ipatikane.