CHADEMA tunasonga kidijitali, hii ni dhahiri haiwezi kufa

Kamanda Asiyechoka

JF-Expert Member
Joined
Sep 13, 2020
Posts
3,315
Reaction score
5,058
Naibu Katibu Mkuu Bara Mhe. Benson Kigaila leo Nov 30,2021 akiwa Jimbo la Bukoba Vijijini Mkoani Kagera akiendelea na ziara ya uhamasishaji wanachadema kujisajili na kupata kadi za kidigitali kupitia mfumo wa Chadema Digital katika Mikoa ya Kanda ya Victoria.

 
Ila hawa makamanda wengi kwenye picha kama wana usingizi Vile maana wamepiga mboji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…