CHADEMA: Tundu Lissu kurejea nchini na atafanya mikutano nchi nzima, wanachama waombwa kuchangia chama!

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mjumbe wa kamati kuu na Katibu wa BAWACHA mkoani Mwanza amesema wanamtarajia Tundu Lissu kurejea nchini hivi karibuni na kwamba pamoja na kuendesha kikao cha Baraza kuu pia atafanya mikutano nchi nzima.

Katibu huyo amewaomba wanachama wa CHADEMA kuchangia chama ili kukiwezesha kutekeleza majukumu yake kwa ufasaha.

Amezungumza hayo katika kipindi cha Tuongee Asubuhi kinachorushwa mubashara na Star tv kikiongozwa na mtangazaji nguli Mansour.

Maendeleo hayana vyama!
 
Warudi wapige kazi
 
Arudi nchini kwanza. Isije ikawa Uswizi na wenzake wamechoka kuhudumia mtu mwenye nguvu zake wakati wao wanapambana huko Ukraine.
 
😀😀😀 W e alipokufa magufuli wakafirisika mpaka ufukarani,siku hizi nasikia wanatembeza bakuri mpaka si mchezo, saidia masikini baba

Utafikiri mazuri. Tuko hapa dhoofu bin taabani:

 
Lisu ndiye anye faa kuwa Mwenyekiti wa Chadema sio Mbowe.......,
 
Mfumo wa kuzila umeandaliwa tayari
 
Lisu atauza chama.

Freeman Mbowe hana bei!
Mbowe aliiuza Chadema mwaka 2015, alimzunguka Dr. slaa.
Mbowe amekitumia vibaya sana chadema kama kampuni yake binafsi.......
Lisu hawezi kufanya upuuzi alio ufanya Mbowe....
Lisu ni muwazi hana mambo ya kificho kama mbowe.
 
Mbowe aliiuza Chadema mwaka 2015, alimzunguka Dr. slaa.
Mbowe amekitumia vibaya sana chadema kama kampuni yake binafsi.......
Lisu hawezi kufanya upuuzi alio ufanya Mbowe....
Lisu ni muwazi hana mambo ya kificho kama mbowe.
Chama gani ambacho hakina mwenyewe?
 
Mikutano ilisharuhusiwa?
Au anatafuta mabalaa
 
Si wanachama tu, CDM imewaomba watanzania wote wanaotaka HAKI, UHURU na USAWA basi wajitokeze kuunganisha mnyonyoro ..kuelekea kwenye Tanzania wanayoihitaji.

Mwitikio si wa kawaida by the way, naona mtaa wa saba hawana furaha kabisa kwenye hili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…