CHADEMA tupate wapi mtu kama huyu anayependwa hivi?

Mbangaizaji wa Taifa

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2024
Posts
493
Reaction score
844
YOHANA 1: 4 -- 6.
mtu pekee mwenye nuru inayomlika nadi ya CHADEMA ✌️ na ndani ya CCM NA SERIKALI YAKE.

MH. TUNDU LISSU aliyejaa neema na kweli, Mtu peeke tuliyepewa zawadi kutoka kwa Mungu. SIKU ZOTE maneno yake yamejaa nguvu na kweli yeto na ushindi.

TUMPATE WAPI MTU KAMA HUYU!?
Eee Mungu ahsante 🙏 kwa kutupa mtu kama huyu kwa jamii kama hii ya watu wajinga, jamii ya TUMBO MBELE.
 
TOKA CCM WEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE, TOKA KAFIE LUMUMBA KWA LUCAS MWASHAMBA
 
Back
Top Bottom