CHADEMA: Tupo tayari kumsimamisha Heche pindi atakapopatikana Humphrey Polepole aje kuchukua nafasi yake

CHADEMA: Tupo tayari kumsimamisha Heche pindi atakapopatikana Humphrey Polepole aje kuchukua nafasi yake

NgerukeAbra

JF-Expert Member
Joined
Sep 5, 2022
Posts
4,253
Reaction score
5,789
Kazi kwenu kwa mnaotaka Heche awekwe pembeni inabidi apatikane Humphrey Polepole ili aje kuchukua nafasi yake.

Ni jukumu lenu sasa kumtafuta Polepole popote alipo hii inaitwa ukisimama mshale ukikimbia mshale.

Tume ya jaji Chande iliyochunguza yaliyotokea kabla na baada ya uchaguzi cha ajabu hakuna akiyekaa pembeni
wakati uchunguzi unafanyika.

Juzi kati imeundwa tume ya kijaji nayo inapiga kazi na hakuna mtu yeyote aliyewekwa pembeni kupisha uchunguzi.

Hii inamaanisha wanaopiga kelele za Heche achunguzwe wanaweza fanya hivyo wakati kiongozi huyo akiwa kwenye nafasi yake.

Au pesa za tone tone ni muhimu sana kuliko maisha ya watanzania yaliyopotea kabla na baada ya uchafuzi wa wa 2025?
 
Back
Top Bottom