CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka

Sasa wewe umekua Luvanda au kanjanja maana maamuzi yalishatolewa wewe ndo unaleta huku kujua
 
Ungejenga hoja,acha porojo na povu
 
Hamza alipenyezewa na Mwenyekiti wa CCM Taifa?
 
Una roho mbaya Santa!Utakufa mapema
 
wamemwita jaji wa kesi za kimkakati- CHADEMA wanatabia ya Ku- personalize mambo na hivyo ndivyo vitisho
Kwa sasa wanacho kifanya Wafuasi wa Mbowe na Viongozi ni kuishinikiza Mahakama ili iamue kesi ya Mbowe kwa Matakwa yao.
kwa wao wafuasi wa Mbowe wanacho kijua ni kuwa haki ni; Mbowe akiachiwa Huru ila akifungwa wao wataona kaonewa!!
Chonde chonde Mahakama kamwe zisiyumbushwe na hawa wahuni wa Chadema ambao lengo lao ni kuichafua nchi na vyombo vyake.
Lengo la Chadema ni kuchafua nchi na vyombo vyote;
wanalichafua Jeshi la Polisi, DPP, na sasa Mahakama, tusipo washughulikia hawa wahuni watatukojolea kichwani.
Amani na Heshima yetu lazima ilindwe kwa gharama yoyote ile.
 
Wewe ni Chadema tangu lini?
 
Kwa gharama yoyote maana yake nini, mbona unaandika kama uko under influence of something prohibited by law.!
 
Wewe ni parody Kada wa CCM
 
Pale mtu mmoja kwa kutumia IDs mbili zinazojibashana na kushambuliana, total stupidity.
 
Afadhari watu wa chadema kupanga kufanya uwovu kuliko ccm ambao tayari wamefanya uwovu mauwaji, utesaji,uuwaji, udhurumati na utesaji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…