CHADEMA tusimpe vitisho Jaji Luvanda, mpaka sasa hajapendelea pande yoyote. Kibatala na jopo lake walichemka

Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Swadakta,kila alilotenda na wafuasi wake yanafikia mwisho
 
Wewe ni pandikizi la CCM.
Ndio maana hata hoja zako zinafanana na akina Gwajima.

NB:Tunakupuuza.
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifaniliwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Gaidi lilitokea CCM😁😁😁
kGayQ.jpg
An8VB.jpg
AQNUPo.jpg
2904506_IMG_0151.jpg
AEyXWF.jpg
1630045965_1630045965-picsay.jpg
 
Kibatala sio mgeni wa kesi sampuli hiyo,ila nawakumbuka Tenga na Lamwai mwaka 1995 wakiwakilisha NCCR-MAGEUZI,walijitia kushindwa na hoja za wanafunzi wao katika uchaguzi mkuu Mangi Mrema akichuana na Mkapa,sasa naona yale yale yanajirudia.
Mimi niwe muwazi kuna tatizo hapo,wapo watu wanaaminika kwa mazoea lakini already compromised.
 
Hayuko Kibatala peke yake. Inawezekana ikawa ni strategy ili baadae waje wahoji uhalali wa ugaidi kuwekwa pamoja na makosa ya kiuchumi. Kabla ya kucheza mpira unasafisha kwanza kiwanja.

Amandla ...
 
Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi.

Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa division ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi haina mamlaka.

Kueneza maneno kuwa Jaji Luvanda ni mwamuzi wa kimkakati ili kufanya kazi maalumu sio jambo jema na sio ustaarabu. Maana kila kitu kipo wazi kisheria.

Tuache mahakama itende haki.
Sheria ni technics kama mathematics!!.. ukiangalia jinsi hii case inavyoenda ni tayari upande wa mashtaka umekosa dhamira ya dhati ya kushinda ndio maana wamemwachia judge!!..ni mtu wa ajabu tu na ambae haelewi jinsi serikali ilivyoshikwa kwenye sheria!!..wametunga sheria lakini wanashindwa kuzitumia!!.. wanashindwa kufundisha wananchi wajue sheria hata waisaidie mahakamani!!!
 
Hii inathibitisha kuwa Mbowe alifanikiwa sana kupenyeza matendo ya uovu na kihalifu kwa wafuasi wake ktk kipindi chake chote akiwa Mwenyekiti wa Chadema.
Tabia za wanachadema zinazo onekana leo hii kama vile; Uhalifu, Ujambazi, Uzaji wa madawa ya kulevya, Kupanga njama za kuuwa watu, kupanga njama za kutenda uhalifu, kujiteka, kuzua taharuki ktk jamii, kueneza uvumi ktk mitandao n.k zote hizo zilikuwa jitihada za Mwenyekiti wao.
Siku wakidai haki tokea msituni nadhani ndoo utakuwa mwisho wetu, tuache siasa za uhasama na double standard. Tuheshimiane licha ya tofauti zetu. Sis site ni watanzania, taifa Ni letu sote tulijenge kwa kujadiliana kwa hoja pasi kuoneana. Mabadiliko ya kikatiba hayakwepeki kwa kua kila Mara tunafanya mabadiliko ya Sheria zetu, hio Ni kiashiria kwamba hata katiba yetu imepitwa na wakati.
 
Paragraph 24 ya Act no 3 2016 makosa yote ya ugaidi yanachukuliwa kama economic offences. Ndio maana mahakama ya kuu divison ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi ina mamlaka ya kusikiliza makosa ya ugaidi.

Kibatala alikurupuka kuweka pingamizi ambazo hazina mashiko ya kisheria kudai kuwa division ya makosa ya rushwa na uhujumu uchumi haina mamlaka.

Kueneza maneno kuwa Jaji Luvanda ni mwamuzi wa kimkakati ili kufanya kazi maalumu sio jambo jema na sio ustaarabu. Maana kila kitu kipo wazi kisheria.

Tuache mahakama itende haki.
Mhu! Namna yako ya kusoma sheria inatia shaka. Kifungu ulichokitaja na kifungu kidogo kinachofuatia haviongelei 'economic offences'. Section 24(1) 'Every person who conspires with another person in the United Republic to do any act in any place outside the United Republic, being an act, which if done in the United Republic, would have constituted an offence under this Act shall be deemed to have, conspired to do that act, in the United Republic. (2) Every person who conspires with another person in a place whether within or outside the United Republic to do any act in the United Republic which constitutes an offence under this Act, shall be deemed to have conspired in the United Republic to do that act.'
 
Sijazungumzia section 24. Nazungumzia paragraph 24 ya Act no 3 2016
 
Magaidi wa kweli wanakamatwa na USA kwenda kuhukumiwa huko mbele jela Guantanamo sio keko Gaidi anaachiwa mikono anapunga kwa Wananchi mna utani ninyi na maisha ya watu..Gaidi kupelekwa mahakamani ni pingu miguuni na mikononi huku macho kafungwa kitambaa vitu vingine mnafanya mpaka tunaona aibu sisi wengine...
 
Wewe ni pandikizi la CCM.
Ndio maana hata hoja zako zinafanana na akina Gwajima.

NB:Tunakupuuza.

Wewe ndo mpuuzi. Unaingiza uchama kwenye Point. Leta hoja. Au kwako hoja hata ya kijinga. Ukisema Mbowe kaonewa. Then mwandishi akisema ameota. Wewe utweka na NB. Hoja nzito. Genius.
 
Back
Top Bottom