Chadema tuwahi TCRA kuzuia leseni ya Nape

Chadema tuwahi TCRA kuzuia leseni ya Nape

Muacheni kijana acheze na fursa ndo muda wake...Kila Moja anakula kwa urefu wa kamba yake.
Na yule Mkurugenzi Mafuru Dodoma aachiwe aendelee na kampunizake za upimaji aendele kula Kwa Urefu wa kamba
 
Mwacheni Nape amiliki hiyo redio. Itaweza kuwa kisu cha kumchinjia mwenyewe.
 
Kuna mgongano wa kimaslahi, hivi radio inayomilikiwa na Nape ambaye ni waziri TCRA ipo chini yake ikifanya makosa inaweza kuadhibiwa.
 
Kwani Musa Moses Nnauye na Maryam Moses Nnauye ndiye Nape Moses Nnauye?

Mbona tuna fling haki za watu namna hii? Kwani ndugu zake hawana haki kufanya shughuli zao halali ? Je ndugu yao kuwa waziri ndo inaondoa haki yao ya asili ya kufanya shughuli yoyote halali.

Tukue kidogo na tuachane na vitu petty.
 
Hii ndio shida mkuu wa nchi kutetea hadharani viongozi wa serikali kufanya biashara...CONFLICT INTEREST YA WAZI KABISA ..saiv viongozi wanafanya vitu bila mshipa wa aibu kabisa coz wanajua juu kumepwaya..
 
Kwani Musa Moses Nnauye na Maryam Moses Nnauye ndiye Nape Moses Nnauye?

Mbona tuna fling haki za watu namna hii? Kwani ndugu zake hawana haki kufanya shughuli zao halali ? Je ndugu yao kuwa waziri ndo inaondoa haki yao ya asili ya kufanya shughuli yoyote halali.

Tukue kidogo na tuachane na vitu petty.
Sawa lkn ukweli waliosajiri hicho kitu wala hawana habari nacho na mtaji hawana, kubali au kataa.
 
Back
Top Bottom