Hata wawe na tv yao kwa mazingira ya sasa, sio rafiki, bado watakuwa kila siku wanapigwa rungu na tcra, na hata hao wafanyakazi watakuwa kwenye wakati mgumu sana!! Kwanza ni kisimbusi gani kitakubali kuiweka hiyo station? Siasa zimegeuzwa kuwa ni uadui siku hizi!!! Yaani unalazimishwa hata kiongozi wa upinzani, umsifie kiongozi wa chama kingine kwa kila jambo?!!! Siku hizi kila tv station muda wote ni sifa za kutukuza tu utadhania mko kwenye kipindi cha kampeni?!!! Taarifa za habari hazieleweki, daaa!!! Zamu hii tumepatikana kweli!!!!