Uchaguzi 2020 Chadema TV: Chadema inakwama wapi?

Km Chadema t.v. online imewashinda
Wataweza wapi kulipa kodi wakianzisha kituo?
Km bilion 8 zinapigwa na mtu mmoja unategemea nini?
Ndugu yangu wewe ni Mbumbumbu kweli kweli, kwani 8 billion ni ruzuku toka serikalini Kwa nini Kwa kutumia wanaokutuma Kutupotezea muda hapa Msiende Mahakamani. 8 Billione ni Mali ya Umma Mpelekeni Mh. Mbowe Mahakamani mambo yaishe, Tofauti na Hapo wacha Kujidhalilisha hapa Jamvini. Kwa akili zako ndogo unmadhani Kumtaja Mbowe kila wakati unampunguzia umaalufu... None Sense..
 
Hata wawe na tv yao kwa mazingira ya sasa, sio rafiki, bado watakuwa kila siku wanapigwa rungu na tcra, na hata hao wafanyakazi watakuwa kwenye wakati mgumu sana!! Kwanza ni kisimbusi gani kitakubali kuiweka hiyo station? Siasa zimegeuzwa kuwa ni uadui siku hizi!!! Yaani unalazimishwa hata kiongozi wa upinzani, umsifie kiongozi wa chama kingine kwa kila jambo?!!! Siku hizi kila tv station muda wote ni sifa za kutukuza tu utadhania mko kwenye kipindi cha kampeni?!!! Taarifa za habari hazieleweki, daaa!!! Zamu hii tumepatikana kweli!!!!
 
Hayo masharti ya TCRA ya kuanzisha kituo cha TV watayaweza kweli? Ukizingatia sasa hivi maelelekezo yote yanatoka juu ambako Mwelekezi hataki kusikia kitu kinachoitwa CHADEMA?Nadhani mpaka wanakuja kupata licence ya kuanzisha hicho kituo labda uchaguzi wa mwaka 2025!
 
Km Chadema t.v. online imewashinda
Wataweza wapi kulipa kodi wakianzisha kituo?
Km bilion 8 zinapigwa na mtu mmoja unategemea nini?
Itv inapatikana kwenye dish ya futi 6 TBC haipatikani.alafu unasema mnaweza wakati kulipa tu bando kwenye satellite ili ipatikane mnashindwa.mmebaki kundandia kwenye media za watu binafsi uku mkiwapa mzigo mkubwa wa ghalama ili kufunga midish mikubwa.
 
Upo sahihi mkuu.
 
Unadhani TCRA watatoa kibali cha matangazo kwa Chadema waanze kurusha vipindi vyao hewani?

Kama kwa sasa tu Chadema hawana TV ila CCM na wenzao hawalali kwa sababu ya Mbowe tu, siku wakianza kurusha mambo yao hewani si ndio CCM watachanganyikiwa kabisa!.

CCM wanalijua hili, ndio maana wanahitaji ulinzi wa TCRA.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…