Huo ndio ukweli, Chama wakiachiwa hawa kina Lissu ni suala la muda tu, chalii
Chama cha siasa kinahitaji mtu mwenye historia ya kuwa sehemu ya watu waliowahi kuwa kwenye oligarchy ya Tanzania
Oligarchy ni hawa watu wachache wanaohusika / very connected na uongozi wa juu, mfano marais, mawaziri, n.k.
Mbowe katokea Olifarchy, Baba yake alitoa msaada mkubwa enzi za uhuru kwa kina Nyerere, baada ya Uhuru alendelea kuwa na connections nzito na wanasiasa wazito.
Mbowe hata kama ni upinzani ni daraja lingine na tofauti, ni Oligarch.
Mrema alianzisha TLP aliwahi kuwa naibu waziri mkuu, na yeye alikuwa sehemu ya oligarch,
Mlipoona Mbowe anawaleta kina Lowassa ni mfano mdogo wa impact ya Oligarch kwenye Vyama, Lowassa aliibust Chadema kwasababu ni Oligarch alie play big part siasa za nchi kwa miaka mingi, Wengi waliona ni usalti bila kujua siasa ni mchezo wa stragies, hakuna maadui / marafiki wa kudumu.
Hawa kina Lissu wana msaada mkubwa zaidi wakiwa sehemu ya chama, Sio kuongoza Chama, Hawana background ya Oligarch ya nchi,
Mtu ataefaa kurithi nafasi yake yafaa awe Oligarch vinginevyo Chaddema inaenda kuwa TLP