LIMBOMAMBOMA
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 10,482
- 14,007
Kwenye siasa inaanzia Imani kwanza, pesa inafuata.Pia kazi ya bodi ya wadhamini ni nn? Mbowe apewe bodi ya wadhamini mambo yaende, chadema wakumbuke lengo lao kuu ni kushika Dola, washikamane kwa Hilo, nafasi zinakuja na kutoka.Lissu atapata wafudolasi lakini wafadhili wawezakana wasiwe wengi mwanzoni.
Na Chama ni pesa,No money no honey.
Madhumuni ya chama ni kuchukua madaraka,kama ataweza kunyakua viti angalau 20 vya wabunge itakuwa ni mwanzo mpya,Lakini akija ambulia kimmoja au sifuri itakuwa ndio mwanzo wa mwisho wa siasa za ushindani.