CHADEMA ukimuondoa Mbowe inaenda kuwa TLP, Chama cha siasa kinahitaji mtu mzito, mwenye historia ya kuwa Oligarch

Kwenye siasa inaanzia Imani kwanza, pesa inafuata.Pia kazi ya bodi ya wadhamini ni nn? Mbowe apewe bodi ya wadhamini mambo yaende, chadema wakumbuke lengo lao kuu ni kushika Dola, washikamane kwa Hilo, nafasi zinakuja na kutoka.
 
Sio kwamba dhima ya Chama ni kuwaunganisha watu / wanachama wenye fikra sawa hivyo kuweza kupaza sauti na kusikika zaidi kuliko vinginevyo ?

Ndio maana nilishasema Bongo kwa Kiasi kikubwa na duniani kwa ujumla vyama vya Siasa vishakuwa ni platforms za watu kwenda kula... Huenda its about time Demokrasia ikawa automated

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…