econonist
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 20,189
- 29,663
Napenda kusema ya kwamba ushindi wa CHADEMA dhidi ya uharamia wa CCM unakaribia. Ni muda mrefu CCM wamefanya machukizo dhidi ya CHADEMA ila Mungu amekaa kimya. Sasa mwaka huu Mungu atajifunua hadharani na kila mwenye Nia ovu dhidi ya CHADEMA atawekwa wazi na Hila zake zitashindwa.
CCM imemwaga damu ya WanaCHADEMA wengi Sana na hakuna hatua iliyochukuliwa, inaonekana ni haki kwa WanaCHADEMA kuuawa na kupotezwa. Ila naomba niwatie moyo Wana CHADEMA wenzangu ya kwamba mwaka huu Mungu ataingilia kati na kuondoa uonevu na udhalimu wa CCM dhidi ya CHADEMA na wanachama wa CHADEMA.
Iwapo CCM na serikali yake ovu italazimisha kufanya uchaguzi bila kufanya reforms zinazotakiwa, basi Jambo kubwa litatokea ambalo litawalazimisha washuke Chini na kufanya mabadiliko ya uchaguzi Kwa lazima.
Vyombo vya Dola visitumike kulazimisha agenda ya CCM ya kukaa madarakani maana vitakuwa havipambani na CHADEMA Bali vitakuwa vinapambana na nguvu kubwa isionekana ambayo hawana hata nguvu robo ya kushinda. Hivyo vyombo vya Dola kuweni neutral na sio kupambana upande wa dhalimu CCM .
Nimalize kwa kusema, CHADEMA itashinda Hila zote za CCM Kwa Jina la Yesu Kristo aliye hai.
Long Live CHADEMA
Long live Lissu
Long live Heche
Long live Mnyika
Long live Golugwa