Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.
CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.
Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.