LGE2024 CHADEMA Uyui Wanyimwa Fomu za Wagombea na Afisa Mtendaji

LGE2024 CHADEMA Uyui Wanyimwa Fomu za Wagombea na Afisa Mtendaji

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Hayo ni maelekezo kutoka juu
Mnatakiwa kukusanya taarifa hizi na kila mara mtoe taarifa ya majimbo yote ambako yanafanyika. Hizi taarifa moja moja hazitoi picha halisi.
Kila mkoa ukusanye taarifa na uzipeleke Makao Makuu.

Amandla...
 
Huku kijijini kwetu mtendaji alitaka kukataa kupokea fomu wananchi wakadai lazima wamuue yeye na familia yake mshkaji akaogopa akapokea mwenyewe kwasababu anawajua wananchi wa hapa kuwa ni zaidi ya vichaa....ni kata ambayo 2020 diwani alikuwa wa CUF tena alipatikana kwa umafia sana
 
Mama Yangu Samiah naona anakopi na ku paste desa la hayati kato!
Je tutarajie matokeo Yale yale!!?

Ngoja tuone!
 
Waende mahakamani kusimamisha uchaguzi haya mambo ya kulalama pasipo kuchukua hatua stahiki ni ujinga.
Matumaini yangu makubwa ni kuwa haya yanayo tokea hayaachwi hivi hivi tu. Mategemeo yangu makubwa ni kwamba CHADEMA wanao utaratibu unao eleweka wa kuyapata yote haya, kuyawekea kumbukumbu na kuyachukulia hatua; kama huko kwenda mahakamani.
Huyo afisa ni mpuuzi sana
Haitoshi!
Hayo ni maelekezo kutoka juu
Haikubaliki na wala HAIVUMILIKI!

Hawa ndio watu wanao takiwa kutiwa adabu kungali mapema sana; kwa njia moja au nyingine. Kuwaacha tu maamuzi yao ya kihayawani yasimame ni upumbavu.
 
Sidhani kama karatasi za chaguzi uwa na mipaka ya matumizi.
Ni vizuri Tamisemi kama wasimamizi wa uchuguzi wakawaelekeza wagombea kujaza form kidigital/online na kuprint popote ili ziwasilishwe kwa ofisa Mtendaji.
Hii itasaidia kuondoa wasiwasi kwa wananchi na kujenga uzalendo.
 
Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.

Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.

CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.

Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.
Wakome na waache kulalamika kwani walitegemea nini?
 
Back
Top Bottom