Torra Siabba
JF-Expert Member
- Jul 24, 2016
- 243
- 287
Hata hapa Rorya form ya mwenyekiti mtaa wa mkoma mtendaji kakimbia hayupo ofisini.Ya Akwilina yatajirudia tena mwaka huu
Hayo ni maelekezo kutoka juuHata hapa Rorya form ya mwenyekiti mtaa wa mkoma mtendaji kakimbia hayupo ofisini.
Kwani kàtibà mpya mmeshapata?Ya Akwilina yatajirudia tena mwaka huu
Wakati mnamuua Akwilina Katiba mpya ilikuwepo?Kwani kàtibà mpya mmeshapata?
Fomu mnachukua kwa Mtendaji, kumbe Mwenyekiti ndie alikataa msitoe nakala.Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.
CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.
Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.
Huyo afisa ni mpuuzi sanaWana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.
CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.
Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.
Waende mahakamani kusimamisha uchaguzi haya mambo ya kulalama pasipo kuchukua hatua stahiki ni ujinga.Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.
CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.
Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.
Tuikatae CCM na viongozi wake.Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.
CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.
Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.
Hao hao CCM wakisema yalikuwa maagizo ya Magufuli sasa hayupo na uzinifu wa Kura unaendelea..Hayo ni maelekezo kutoka juu
CCM wanafanya usanii mkubwa snWana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.
CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.
Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.
Watendaji wote ni CCMUpuuuzi mtupu kwa mtendaji kilaza