Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 10,448
- 8,705
Mnatakiwa kukusanya taarifa hizi na kila mara mtoe taarifa ya majimbo yote ambako yanafanyika. Hizi taarifa moja moja hazitoi picha halisi.Hayo ni maelekezo kutoka juu
rufaaYa Akwilina yatajirudia tena mwaka huu
Lucas ni mke wa AbdulMama anaupiga mwingi na mkwe wake Lucas Mwashambwa
Sasa hivi ni jino kwa jino tu, unakataje rufaa kwa mtu kama Mchengerwakateni
rufaa
Matumaini yangu makubwa ni kuwa haya yanayo tokea hayaachwi hivi hivi tu. Mategemeo yangu makubwa ni kwamba CHADEMA wanao utaratibu unao eleweka wa kuyapata yote haya, kuyawekea kumbukumbu na kuyachukulia hatua; kama huko kwenda mahakamani.Waende mahakamani kusimamisha uchaguzi haya mambo ya kulalama pasipo kuchukua hatua stahiki ni ujinga.
Haitoshi!Huyo afisa ni mpuuzi sana
Haikubaliki na wala HAIVUMILIKI!Hayo ni maelekezo kutoka juu
Ndo linalotakiwa haya mengne nikusaidia kuhalalisha haram kuwa halalSemina elekezi wamepewa, hakuna uchaguzi ni kupoteza muda tuu
Wakome na waache kulalamika kwani walitegemea nini?Wana jamvi, kazi yangu ni kuzunguka tuu na kuwaletea yanayojiri, jioni hii nikiendelea na harakati zangu za utafutaji, nimekutana na wazee wa CHADEMA eneo la Ndala lililopo Wilayani Uyui Tabora.
Wazee wa CHADEMA wanadai kwamba wameenda kuchukua fomu za kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa Serikali ya mtaa kwa Afisa Mtendaji.
CHA AJABU watu wa CHADEMA wameambiwa kwamba Fomu zimeisha, na walipojaribu kuomba wachange hela wakatoe fotocopy ili walau wapate fomu za uongozi mwenyekiti akakataa Abadani.
Mimi kijumbe tu kuleta taaarifa.
Kupata FomuWakome na waache kulalamika kwani walitegemea nini?
SanaHuyo afisa ni mpuuzi sana